Marafiki ni watu wa ajabu sana

Marafiki ni watu wa ajabu sana

Fear women.....kama kweli jamaaa yako kamtongoza basi kaamua kukwambia wewe kuna mambo mawili hapo

1) hajampemda mshikaji
2) anahisi labda wewe na mshikaji wako mmepanga njama ili kumpima yeye.

anway akufaaye kwa dhiki ndo rafiki kama kakusaidia kitu ambacho wewe mwenyewe unakiri kabisa hakuna ambaye angekusaidia basi huyo ndo rafiki mengine ni ya kuvumilia tu kiume........

kila mtu anatabia zake mbaya na nzuri hata wewe unazo zako mbaya na nzuri.
 
Unamkumbuka Penina wa Goba mshangazi nginjanginja komasava, alivyokula hela ya msukuma hadi akageuzwa bucha..😶
 
Ulishawahi kupiga story na "demu" na kutaja madili na michakato unayofanya na huyo rafiki yako? Huwa una mpamba kwamba ni mwamba na anakupa direction za kupiga pesa?

Hapa umesema jamaa anapenda chovya chovya... Na hilo pia ulisema kwa "demu" wako!?

Huyo mwanamke anataka kutafuta your weakness... Hivyo anapita njia zile zile unazomwambia... Bila huyo mchizi atakukalia hapo utosini... Sasa jichanganyee tu
 
Nina rafiki yangu flani ivi ni mwanang kinoma, yaan ni wale marafiki since day one.

Mwezi wa tano May, kuna jambo alinifanyia nilichukia sana na sikutegemea kutoka kwake kwasababu ni mwanang sana bora hata ingekuwa amenifanyia mtu baki ila sio yeye. Sitalisema hapa kweny huu uzi ila ilikuwa ni issue ya uchoyo, jamaa alinifanyia uchoyo.

Mwezi uliopita June, jamaa yangu bhana akamtongoza mpenzi wangu, demu mwenyew ndo alikuja kuniambia jamaa yako kanitongoza na kaniambia kila kitu unachonifanyia, kumbe jamaa yangu alimwambia mpenzi wangu mi simpendi nina mademu wengi yeye namchezea tuu, mpenzi wangu alibisha ila jamaa akawataja wale mademu wengine na kumwonesha hadi picha zao hao michepuko yangu, mpenzi wangu wakati ananisimulia hayo alikuwa analia sana na mimi ofcourse nilijisikia vibaya na hasira zilinipanda sana, nikaamua siku nikikutana na jamaa yangu ama zake ama zangu, mmoja anaenda hospitali mwingine anaenda jela, potelea mbali na urafiki. Ila sikumwambia chochote nikabaki kimya.

Okay, so kuna majukumu flani nilipata ikabidi nisafiri kidogo mkoani ila huku Dar kuna mishe zangu nilimwachia mwanang mwingine ambaye hajui chochote kinachoendelea kuhusu mm na jamaa yangu, sasa kuna mchongo flani ukatiki ambao tulikuwa tunaufatilia wote, ila ilihitajika tutoe 3M na kutuma barua na documents na ilihitaji ufuatiliaji sana.
Huwez amini jamaa yangu akanifanyia kila kitu, alinitolea hadi hio 3M na kusimamia show nzima hadi tukapata wote, of course tulikuwa tunafatilia wote so jamaa alivoambia niko mkoa akafanya kila kitu yeye mwenyew.

Sasa hapa wazee nipo nachanganyikiwa, katoka kunifanyia mambo ya kis*nge kweli alaf anakuja kunisaidia jambo la muhimu sana ambalo sidhani kama kuna mtu angeweza kunisaidia ukiachana na yeye.

Bado nam-mind kunitongozea mpenzi wangu.

It's very frustrating.
Polee mkuu
"A friend in need, is a friend indeed"
 
Mbona hayo ya kawaida sana. Katika maisha huwez kumpata mtu anaekufaa kwa kila kitu hata mzazi wako Chief. Ni Yesu pekee anaeweza kuwa mzur kwako kwenye kila kitu. Kikubwa usiishi kwa kukariri makosa ya watu. Mfaidi kwenye mema na mpotezee kwenye mabaya. Maana Mungu ameiumba siku mbaya kwaajili ya wabaya pia. Elton John anaimba vizur sana na mnaweza kumfurahia lakini kwa upande mwingine ni shoga inakera.
 
Bado hujawajua wanawake. Narudia tena wewe bado hujawajua wanawake!

(Itunze hii comment na baada ya miaka kama mitano+ ijayo irejelee. Utacheka na kujicheka sana kwa jinsi ulivyo boya sasa hivi!)
 
Ni kweli mshkaji ana tamaa sana na wanawake ila sijawahi kudhani atatamani hadi mwanamke wangu
Basi kama umeshajua hiyo ndio weakness yake we nenda nae hivyo hivyo. La sivyo utagombana na kila mtu.

Kama una demu mzuri we tambua tu kwamba sio huyo mshkaji tu, hata baba yako, ma bro wako nk wote wanaweza kumtongoza kiroho safi.
 
Ni ngumu sana kukuamini. Umesema jamaa ni mchoyo? Halafu kapambania na kutoa m3 na uchoyo wake? Unawajua wachoyo wewe?

Waite jamaa Yako na demu wako pamoja3 muulize demu mbele ya jamaa Yako then piga chini msaliti ntakuja muuane Bure.
 
Back
Top Bottom