Marafiki natafuta kazi

Marafiki natafuta kazi

naomi1

Senior Member
Joined
May 1, 2018
Posts
109
Reaction score
73
Hbr zenu
Mie ni binti mwenye umri wa miaka 25 niko mbele zenu hapa
Natafuta kaz ya usafi maofficen
Migodini, au kaz yakujitolea kwenye vituo yva watoto yatima
Nina uzoefu nakaz hiyo niko mwanza
Niko tayar kufanya kaz

Sina elimu lkn nina ufahamu , na uwezo na bidii katik kaz
Mungu awabarik
Dharau kejeli sio nzur
 
Nimeketi hapa kwa dereva kuwasubiri wanaohusika na hili itakupasa dada uwe mvumilivu kwa majibu yoyote utakayopewa humu.
 
Nimeketi hapa kwa dereva kuwasubiri wanaohusika na hili itakupasa dada uwe mvumilivu kwa majibu yoyote utakayopewa humu.
Naamin majibu yatakuwa mazur
Siyo yakuvunja moyo wala kukata tamaa
Nimeomba kibali mbele za mungu wangu aniepushe na majibu yakuudhi
Niombee pia
 
Hbr zenu
Mie ni binti mwenye umri wa miaka 25 niko mbele zenu hapa
Natafuta kaz ya usafi maofficen
Migodini, au kaz yakujitolea kwenye vituo yva watoto yatima
Nina uzoefu nakaz hiyo niko mwanza
Niko tayar kufanya kaz

Sina elimu lkn nina ufahamu , na uwezo na bidii katik kaz
Mungu awabarik
Dharau kejeli sio nzur
Utapata Dada kuwa mvumilivu.
 
Sjasoma nina elimu yakawaida
Unaposema Una elimu ya kawaida ni ipi ? Jibu swali kadri ulivyoulizwa inawezekana aliyekuuliza hivyo ndy Boss wako anakufanyia Usaili. Nakushauri, Kama unatafuta kazi kwa hapo Mwanza, anza kutembea hoteli kwa hoteli, nyumba kwa nyumba, geti kwa geti mpaka kieleweke.
 
Mimi natafuta mfanyakazi ila ni kazi za ndani kama tuko tayari
 
Vipi kuolewa upo tayari nayo ni kazi karibu pm
 
Unaposema Una elimu ya kawaida ni ipi ? Jibu swali kadri ulivyoulizwa inawezekana aliyekuuliza hivyo ndy Boss wako anakufanyia Usaili. Nakushauri, Kama unatafuta kazi kwa hapo Mwanza, anza kutembea hoteli kwa hoteli, nyumba kwa nyumba, geti kwa geti mpaka kieleweke.
Asante kwa ushaur wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom