Marafiki na Visa vyao[emoji23]

Wana wanajisahau Sana,Nlikuwa nae mshikaj mwingne tena, baada ya wakwanza kumuibia bimkubwa familia ikasahau ikamsaidia mwingine kumsomesha taratibu akaanza kukamata vijisent hatimae akaanza kuwaongelea ovyo wazee wangu...kiukweli had leo najtahid kumsamehe....aliongea ovyo Sana licha ya msaada walompa,alipoona kapata vijisent vya tour guide akaona laif kalimudu....

Duuh na ndio walimsomesha na bado anatema mbovu maisha haya amegundua makosa anaomba msamaha au ana kibur bado
 
Manzi flani tulikutana shule tukaanza kuwa dada na mdogo , naingia chuo akawa anakuja kulala hostel alikua na funguo za room nlimpa mpk ID fake ili asisumbuke getini mwisho wa siku akachukua hela, saa yangu very expensive kutoka Turkey na iphone s5 sikuamini nkashangaa haji tena na simu kupokea kwa shida sana.
Nlipotezea na nkaja kutana naye almost baada ya mwaka alikua anajichekesha ila kwa jinsi alivyokua amechoka ata kumdai was useless.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom