TAECOLTD
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 1,051
- 1,845
Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini mtu anapofanikiwa kwa hatua fulani basi hubadili marafiki na kuachana na wale wa zamani yaaan sio kuwaacha kabisa yaaan kutokuambatana nao tena, na hapa ndio kauli zile za lawama za kuwa tangu amepata kazi anaringa mara sasa hivi marafiki zake wa kishua tu sisi ametutupa zinakua zinaibuka ghafla, unajua sababu???
Sababu kuu ni hii, hakuna tajiri hata mmoja duniani amewahi kua na rafiki masikini a big impossible, jaribu kufuatilia histoaria za kina bill gates utabaini rafiki yake mkubwa ni buffet pia kina Mengi, Barkhresa, Mo Dewji na wengine utakuta rafiki zao wakubwa ni watu wa kipato fulani. Hata Mark wa Facebook sasa hivi rafiki zake ni billionaires wenzake sio wale masikini aliokua nao utotoni
Issue ni hivi ili uzidi kufanikiwa unahitaji booster yaaan mtu atakayekusukuma usonge mbele ila trust me marafiki wale wale uliowazoea watakufanya mtumie hicho ulichovuna na sio namna ya kuongezeka zaidi na zaidi
Ndio maana kwenye siasa tunaambiwa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Acha kukumbatia marafiki zako eti kisa mlikua wote kijiweni wakati huna kitu so now huwezi kuwatupa, brother and sister hutapiga hatua kwa kushikilia mentality hiyo.
Hujawahi kujiuliza kwanini wale wanaojilambalamba na kujipendekeza kuwa karibu na watu waliofanikiwa kama mtu fudenge (jina kapuni) basi hatimaye nao huwa na mafanikio? The principal is very easy "ukikaa na ua Rose lazima unukie" au pia "ukitembea na mwizi nawe ni mwizi" very simple logic
Chagua marafiki wapya ambao unajua watakufikisha unapopataka instead of kukumbatia viazi mviringo ambavyo havina faida kwako currently na huko unakoenda kimaisha
Sabato njema wapendwa na siku njema