Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Feb 22, 2014 #1
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Feb 23, 2014 #2 hao sio marafiki , hawaamianiani hapo wanakula timing tu
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Feb 23, 2014 #3 MziziMkavu said: Click to expand... wamedanganywa na binaadamu wawe marafiki lakini bado ni urafiki wa mashaka!
MziziMkavu said: Click to expand... wamedanganywa na binaadamu wawe marafiki lakini bado ni urafiki wa mashaka!
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Feb 23, 2014 #4 sio duka la picha hilo kweli, maana paka hamuangalii huyo rafiki wakati yupo karibu yake kabisa
CHIKITITA JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 445 Reaction score 158 Feb 23, 2014 #5 hapo mwenye kumuwahi mwenzie ndio mshindi, nyoka hana urafiki na kitu chochote
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,502 Reaction score 6,460 Feb 23, 2014 #6 MziziMkavu said: Click to expand... Sina imani na hii picha, angalia macho ya paka kama anaangalia kitu kingine kabisa. Halafu hawa jamaa kukaribiana hivi mh....!!
MziziMkavu said: Click to expand... Sina imani na hii picha, angalia macho ya paka kama anaangalia kitu kingine kabisa. Halafu hawa jamaa kukaribiana hivi mh....!!
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Feb 23, 2014 #7 Busu la ukweli hilo