Maradona hakuwahi kubeba Ubingwa wa UEFA, kiatu ni nini kwa Mayele?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Nimeingia mtandaoni jioni hii nikaona picha za Mayele na Ntibanzokinza. Ghafla nikadhani labda wamepata ajali ya gari na kufariki, Kumbe sivyo!

Kumbe palikuwa na mada ya ufungaji wa Magoli.

Sikieni. Suala la kiatu ni jambo dogo sana. Klabu inapo ainisha malengo yake huwa hawazungumzii kaabisa suala la kiatu cha ufungaji bora.

Kimsingi kushinda kiatu cha ufungaji bora si ishara ya ubora wa mchezaji. Mchezaji yeyote anaweza kuiotea form na akajikuta anakuwa top scorer wa NBC PL.

Hata ikitokea Ntibanzokinza akabeba wala haiondoi ukweli kuwa Mayele had the best season of his career. Haitaji kujipembua kama ni Top Striker ikiwa CAFCC kawa Top Scorer.

Klabu kubwa zinajipembea kwa kufikia Malengo makubwa. Klabu ya Yanga SC imekwisha toka katika hatua ambazo wengine wanapitia.

Ni kheri Yanga SC isitoe mfungaji bora kwa misimu 10 mfululizo lakini Ibebe Mataji Yote ya Ndani.

Mfano:- Kuna wachezaji kibao bora hawajawahi shinda Uefa Champions League (UCL). Kuto shinda hilo taji hakukuwafanya wasiwe top top players.

Diego Maradona.
Ronaldo Nazario.
Dennis Bergkamp.
Michael Ballack.
Gianluigi Buffon.
Lilian Thuram.
Lothar Matthaus.
Francesco Totti.

Hivyo basi hakuna presha ya kiasi chochote kitakachomfanya MAYELE acheze mechi ya mwisho wa Ligi ili asipumzike kwa sababu ya kombe la ASFC.

By the way, Kiatu kitakuwa faraja tosha kwa msimu huu kwa klabu ambayo haijabeba Silverware yeyote ile kwa misimu miwili mfululizo.
20230522_234620.jpg
 
Nimeingia mtandaoni jioni hii nikaona picha za Mayele na Ntibanzokinza. Ghafla nikadhani labda wamepata ajali ya gari na kufariki, Kumbe sivyo!

Kumbe palikuwa na mada ya ufungaji wa Magoli.

Sikieni.

Suala la kiatu ni jambo dogo sana. Klabu inapo ainisha malengo yake huwa hawazungumzii kaabisa suala la kiatu cha ufungaji bora.

Kimsingi kushinda kiatu cha ufungaji bora si ishara ya ubora wa mchezaji. Mchezaji yeyote anaweza kuiotea form na akajikuta anakuwa top scorer wa NBC PL.

Hata ikitokea Ntibanzokinza akabeba wala haiondoi ukweli kuwa Mayele had the best season of his career. Haitaji kujipembua kama ni Top Striker ikiwa CAFCC kawa Top Scorer.

Klabu kubwa zinajipembea kwa kufikia Malengo makubwa. Klabu ya Yanga SC imekwisha toka katika hatua ambazo wengine wanapitia.

Ni kheri Yanga SC isitoe mfungaji bora kwa misimu 10 mfululizo lakini Ibebe Mataji Yote ya Ndani.

Mfano:- Kuna wachezaji kibao bora hawajawahi shinda Uefa Champions League (UCL). Kuto shinda hilo taji hakukuwafanya wasiwe top top players.

Diego Maradona.

Ronaldo Nazario. ...

Dennis Bergkamp. ...

Michael Ballack. ...

Gianluigi Buffon. ...

Lilian Thuram. ...

Lothar Matthaus. ...

Francesco Totti.

Hivyo basi hakuna presha ya kiasi chochote kitakachomfanya MAYELE acheze mechi ya mwisho wa Ligi ili asipumzike kwa sababu ya kombe la ASFC.

By the way! Kiatu kitakuwa faraja tosha kwa msimu huu kwa klabu ambayo haijabeba Silverware yeyote ile kwa misimu miwili mfululizo.

View attachment 2648449
Mkuu unahangaika sana aisee. Unadai kushinda taji la UEFA siyo big deal wakati huo huo unabeza Simba kutochukua kombe msimu huu.

Na usiniambie unamlinganisha Mayele na hao wachezaji kwenye list.
 
Wahurumieni wanathiimba ndio tumaini lao lililobakia msimu huu, kiatu cha dhahabu
Ajitahidi basi hapo tarehe 9 watapo cheza na Coast Union ili afungepo hata mawili.

Maana Mayele tunampumzisha ili akawakande azam fc kwenye fainal ya ASFC.
 
yaan mmevurugwaa hadi mnahurumiwa
Within four day, proper players will be lifting two silverware namely.

1. LigiKUU Trophy
2. ASF CUP

Just imagine the other side has got nothing to celebrate.

20230125_205900.jpg
 
Back
Top Bottom