mara ya mwisho lini kutumia hii kitu

Kwani kanatumika wapi haka kajamaa...........!!!!!!!!!!😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mmmh hiyo sabuni siwahi ogea kabisa yani, Kwan ina nn cha ziada mkuu
 
Hako nimekatumia mpaka nikawa nasema 'siku hizi hakatoi harufu'....
 
Mara ya mwisho kukatumia hako kasabuni ni usiku wa jana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
umenikumbusha kuna dem wangu alikuwa anaitwa eva duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…