Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Nilipigana na dogolasi nikampa teke likatua kwenye via vya uzazi hahahaaaaaa alinipa ngumi moja TBC( ukweli na uhakika) ya kwenye titi la kushoto nilizimia nikaja stuka niko hospitali aiseee dogo angeniua yule daaaa
Hahahaha MankaM samahani kwa kucheka aisee nimeshindwa kujizuia....pole kwa kweli
Kila siku Club lazima kiumane...pombe mnatununulia wenyewe halafu mnataka muondoke na mimi kwa lazima.
Utapigwa tuuuuu.
Mi mara ya mwisho nimepigana 2002 binti mmoja alinikanyaga tukiwa tunaingia darasani nikamvuta nikamwambia kwa nini unanikanyaga ina maana mchana wote huu huoni? Akanijibu ku.nya wee mashetani ya kule kwetu yalipanda alikuja kuamulia mwalimu af tukapokea fimbo za kutosha......walimu hawakuamini kama ni mimi ndo nmepigana