Mara ya mwisho Arsenal....!!!

mmmh kweni jamaa ana domo!!!!Nasib Domo...........!
 
Mbona mnaishupalia Arsenal, Arsenal, Arsenal wakati kuna timu kama mtowadamu hazijawa mapingwa wa premiership karibia kizazi kimoja kinapita.

slow down......
 
Mbona mnaishupalia Arsenal, Arsenal, Arsenal wakati kuna timu kama mtowadamu hazijawa mapingwa wa premiership karibia kizazi kimoja kinapita.

slow down......
mtowadamu mwaka jana walichukua CALLING CUP(CAPITAL1 LEAGUE)
 
mtowadamu mwaka jana walichukua CALLING CUP(CAPITAL1 LEAGUE)

Ha ha ha ha!. Unaongelea kombe lililolaaniwa ambao mara nyingi timu ikilichukua huwa inashuka daraja au meneja wake anafukuzwa kama ilivyotokea kwa Kenny Dalglish.

Mimi nilikuwa naongelea Barclays Premiership
 
mara ya mwisho timu ya Arsenal kuchukua kikombe


Mara ya mwisho Arsenal kutwaa taji
1. Arsenal wenger alikuwa kijana
2. Fugason alikuwa kijana
3. McManaman mchezajiwa Livapool bado alikuwa natisha
4. Roberto Bagio alikuwa hajastaafu kucheza soka
5. Africa kusini alikuwa na wachezaji soka maarufu kama; Simion Masinga,Mark Williams,Mark Fish,Lukas Radebe,Shaun Bartlet,etc
6.Nyerere alikuwa bado hai
7. Mkapa alikuwa raisi na vitu vilikuwa rahisi...sabuni Tsh 100 kipande mnara Tsh 500
8. Bati la kujengea lilikuwa Tsh 3,000
9. Eritrea ilikuwa ni sehemu ya Ethiopia
10. Ufaulu wa wanafuzi kuanzia Division 1-3 ilikuwa ni asilimia 80%
 
Washachezea goli 2 mpaka sasa, chezeya Bayern Munchen...
 
babu wenger nae apumzike sasa toka1996 yupo tu na arsenal
 
Mbona mnaishupalia Arsenal, Arsenal, Arsenal wakati kuna timu kama mtowadamu hazijawa mapingwa wa premiership karibia kizazi kimoja kinapita.

slow down......
Nawashangaaa!Arsenal chama kubwa ndio maana haiwatoki midomoni wanaigwaya!
 
Nawashangaaa!Arsenal chama kubwa ndio maana haiwatoki midomoni wanaigwaya!

Watu na povu utafikiri Arsenal ndiyo timu pekee ambayo haijachukua kikombe kwa muda mrefu. Kuna hii kitu, ukiona watu wanakiongelea sana, basi lazima kitakuwa kinawagusa au ni threat katika position yao.

IN ARSENE, WE TRUST kama hawakubaliani na hii, basi waende wakapige ukuta ngumi.
 
tunawatisha si wanajua moto wetu hua hauzimwi na zimamoto,na mashabiki wa Arsenal hatuyumbishwi na chochote,watajiju,watuachie wenger wetu,wazidi kujipanga,Arsenal daimaaaaa!
 
Mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe, mbona msiizungumzie West Ham au Liverfool?

Kuna Chelsea waliosubiri miaka 40, Man City miaka 35 hao hamuwazungumzii kwa kuwa miaka hii miwili wameona mwezi. Sasa kwa taarifa yenu Financial Fair Play imesainiwa na hiyo michezo ya hela sasa imefika ukomo msimu huu. Next season mtaanza kuslow down. Mpira utabaki Arsenal na Man U ambazo zina utaratibu wa kukuza vipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…