Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,470
- 3,775
Miaka 13 sasa toka Arsenal atwae ubingwa wake wa mwisho EPL, mambo mengi yametokea na hata kupita, tujikumbushe baadhi ya mambo hayo;
1. Kikwete ameingia madarakani ametawala miaka 10 na sasa amestafu.
2. Rais wa Marekani alikuwa ni George Bush.
3. Messi bado alikuwa nyumbani kwao Argentina.
4. Mtandao wa Tigo ulikuwa unaitwa Buzz.
5. JamiiForums ilikuwa bado haijaanzishwa.
6. Chama Kikuu cha Upinzani kilikuwa ni CUF
7. Boko na Bunju kulikuwa ni mapori watu wanaenda kuwinda.
Endelea na wewe...