Kwa vile sasa hivi kila watu wameanza kudai rasilimali zilipo kwenye eneo lao na sisi wana Mara tunataka dhahabu yetu ili tuwe wa kwanza kunufaika nayo kwanza.
Mkuu dhahabu ya Nyamongo ilishaisha/au kupungua kwa kiasi kikubwa sana yani wana MARA wakiiomba watapewa mara moja bila zengwe lolote,,,,,,,,,,,,chezes gas ya Mtawra weye
wana mtwara hawana maana kwamba gesi itumike mtwara peke yake.wanachohitaji wao gesi izalishe umeme kule kule mtwara ili kuvutia uanzishwaji wa viwanda na kujenga soko la ajira kwa wana mtwara kwan wamekuw nyuma kwa muda mrefu!
Mkuu dhahabu ya Nyamongo ilishaisha/au kupungua kwa kiasi kikubwa sana yani wana MARA wakiiomba watapewa mara moja bila zengwe lolote,,,,,,,,,,,,chezes gas ya Mtawra weye
Wana mtwara wamechoka kudanganywa.rais aliwaahidi kujenga kiwanda cha mbolea lakini imekua kimya!nadhan iyo gesi ingetumika kuzalisha umeme kwa ajili y icho kiwanda cha mbolea na pia huo umeme ungechochea uwanzishwaji wa viwanda vingne vingi.ivi kwan lakin kla k2 knaelekezwa dar?ndo maana mikoa mingne inakua nyuma kmaendeleo mpaka leo karne ya 21.
Nimesikia kuwa ccm wanataka kupandikiza watu kwenye maeneo yenye rasilimali nao waanze kudai kunufaika na rasilimali,dhumuni ni kuonyesha kuwa kuna watu wanatekeleza maadhimio ya kuigawa Tanzania kikanda,na hapo ndo ntwara wanapopigwa chenga ya mwili!!!
Kwa vile sasa hivi kila watu wameanza kudai rasilimali zilipo kwenye eneo lao na sisi wana Mara tunataka dhahabu yetu ili tuwe wa kwanza kunufaika nayo kwanza.
Kwa vile sasa hivi kila watu wameanza kudai rasilimali zilipo kwenye eneo lao na sisi wana Mara tunataka dhahabu yetu ili tuwe wa kwanza kunufaika nayo kwanza.
na sisi wachagga tunataka redio one yetu,itv yetu,capital redio yetu,crdb bank yetu,tra yetu,precion air yetu,bot..yetu ,bia ya kilimanjaro yetu,maji ya kilimanjaro yetu,ambiance club yetu,club billcanas yetu,chuo chetu cha muccobs,chuo chetu cha kcmc,nchi yetu ya kilimanjaro,chuo chetu cha police training.........sasa jiulizeni na sisi tukiamua kufanya hivi mtaishi vipi ...maaana hivi vyote vyetu.....kamoon chezea wachagga wewe.....
Aaaaaaah mambo yenyewe ndiyo hivyo, na sisi ( wasukuma, wahaya, wajita, wakerewe, wasubi, wajaluo na ......wajitokeze kwa mshikamano) Tunataka maji yetu ya ziwa Victoria yasipelekwe kokote tunayahitaji kwa ajili ya umwagiliaji na umeme kwenye maporomoko ya mto Kagera. chezea ​Lake Provinceweye.