Mara Paap!

Kuna rafiki yangu ni mtu mkubwa tu ndani ya hiyo taasisi anakwambia wakikuzidi ungana nao la sivyo utaumia mwenyewe na utawaacha wanapeta so tusishangae kuwaona wale jamaa kule mjengoni wanaitikia kila jambo ndiyoooooo wanajua kabisa hakuna mkubwa kule wakiamua kukushughulikia huchukui raundi ukitakaa kuamini muulize mzee wa Monduli
 
Maraaa paap chakubanga ndani ya ardhi ISRAEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…