Mara Paap! Taifa Stars hii Hapa World Cup!! Itakuwaje?

Waziri mkuu amewatembelea Jamaa leo.

 
Kuna makundi 10.. kila kundi lina kigogo. Kwa mbali na kwa kubahatisha labda tupangiwe Algeria au Mali tukitoboa makundi
 
Hakuna siku unaweza kukuta timu ulizotaja hapo kuwa kundi moja.
Soka ni biashara ndugu.

Kuhusu Stars inawezekana,. Lakini siyo hili la Qatar.
 
Huwezi kufuzu mbele ya Mane, salah, Benrahma, Mahrez, Kassie, Ihenacho..bahati hiyo haipo.
Kina Iheanacho walifungwa nyumbani na CAR wana maajabu gani ?

Nigeria ni timu ya kawaida tu kama Uganda, Congo na Madagascar.
 
Ndio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022.

Ndio imesha qualify sasa.
Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi tutatoboa?
Tutangoja sana.Tunashangaa mnataka kutumia fedha zetu za tozo kuwahonga wachezaji.Hizo fedha wagawieni wamachinga akina mama wenye hali ngumu sana kiuchumi.
 
Back
Top Bottom