MARA: Kangi Lugola ametoa wiki moja kwa Polisi kuwakamata wanafunzi watoro na wazazi wao

Mkuu tunakosa sera ya kitaifa....kama ma swala ya elimu yanaanza kusimamiwa na police, jua kuna tatizo mahara
Kibaya zaidi waziri asiyehusika na Elimu na analenga eneo moja tu la nchi( au kwa vile kwao?) Mtwara je, nkasi je ? Utoro umehalalishwa?
 
Back
Top Bottom