cement
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 581
- 221
Wakuu hizi epsode zinaonyeshwa sana Star Tv nimekuwa nikimsikia wife akifatilia bila me kuielewa mpk aliponisimulia nimevutiwa sana na namna ilivyoandaliwa kuhusu hawa mabinti wawili wa kimasikini na tajiri!!!sasa basi naomba kujua ni wapi naweza pata full dvd ya hii story niwe nayo home coz ni nzuri sana!!!