MARA: Bweni la wasichana lateketea kwa moto

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
⁠⁠⁠ Bweni la wasichana shule ya sekondari ya Issenye katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara limeteketea kwa moto leo, Zimamoto wasema wanafunzi wamenusurika.
Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
 
Back
Top Bottom