Swali.Mimi nauliza tuu.Hiyo kazi hakuwa na nesi wa kumsaidia? Hili halina tofauti na lile la Hamza tu.Inteligensia ilikuwa wapi, Waziri alipaswa ajue.Mwezi wa 7 8 na wa 9.ndiyo taarifa inatoka tena mtandaoni.Una hakika gani kama hiyo video haikupikwa kama ile ya Gwajima.Ikiwa muhusika hakuripoti hiyo Wizara ingepata vipi taarifa na kuchukua hatua? Taarifa imepatikana hivi karibuni ndiyo kuchukua hatua jamani hizi lawama nyingine nazo hata hazina mashiko.
Nahisi hatupo salama.Gaidi yupo nchini miaka na miaka kama taarifa ilivyotoka, alikuwa akifanya mazoezi kwa mfumo wa Tv.Mpaka amefuzu na akatimiza azma yake, taarifa za kiinligensia hazikupatikana.
Hatuko Salama,turudi kwenye mfumo wetu aliouanza Baba Wa Taifa Mwal.Julius Kambarage Nyerere wa kuwapa na kuwathamini tuliowaita Maraisi wa nyumba kumi (Mabalozi) ili kupata kila taarifa kila wakati.Iwe mbaya au nzuri.