TUME ILIYOUNDWA HAIKUWA WA UFAHAMU WA KUTOSHA. SUALA LINGEKUWA KWAMBA KAMA TUMEKUBALIANA KUWA NA SERIKALI TATU, KURA ZA MAONI ZINGEPIGWA, KAMA IKIKUBALIKA, IUNDWE TUME YA KUSHUHULIKIA KATIBA YA TANGANYIKA KWA KUTUMIA HADIRU ZA REJEA ZILEZILE, WATANGANYIKA NDIO WAAMUE kama tunataka wbunge wanamna gani, Wakuu wa mikoa wawepo au wasiwepo, n.k. ZANZIBAR TAYARI WALISHAANDIKA KATIBA YAO. hatuwezi kuwa na bunge lenye wanzibar wakati wao kuna mambo hawatatakiwa kuyajadili mfano madini, maji, elimu, afya n.k.