Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,058
Gioooy
Jeshi la Polisi kupoteza imani kwa wananchi
Yafuatayo ni makosa 20,niliyoyaona binafsi katika uongozi wa awamu ya nne.
1.migogoro kati ya vyama siasa
2.siasa za matusi na udini majukwaani
3.migogoro ya kidini
4.mauaji ya viongozi wa kidini
5.mauaji ya wananchi kiholela
6.mikataba mibovu nchini
7.Rushwa kila idara
8.ukandamizwaji vyombo vya habar na mauji ya waandishi
9.mauaji na utekwaji wa wanaharakati
10.migomo ya wanavyuo na wafanyakaz
11.matokeo mabaya ya kidato cha nne kuwahi kushuhudiwa
12.mfumuko mkubwa wa bei
13.madeni mengi kwa serikal
14.mzaha kwa wabunge na uwajibikaji duni
15.kupindishwa sheria bila sababu maalum
16.kubadilishwa kwa viongozi mfano,wakuu wa wilaya na mikoa kila mwez
17.kuamliwa mambo yetu ya ndani na mataifa ya nje hasa ulinzi
18.utatuzi duni wa migogoro
19.kuibuka kwa hisia za kidini kuliko kipindi chochote
20.malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kila kona
Mwaweza kuongezea.....kesho ntaandika mazuri 20 pia
Wizi wa waziwazi wa raslimali zetu,Twiga na wanyama wengine walipanda ndege.
Chadema kusambaratika
Safari za nje kila mtu kwa pesa ya mlipa kodi