Mapungufu kwenye. Ufuatiliaji wa Miradi iliyotekekezwa kwa Utaratibu wa Force account katika Sekta ya Elimu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,279
CAG alibaini kukosekana na Wataalamu wanaoweza kusimamia na kufuatilia kitaalamu miradi inayotekelezwa hususani kwenye Kamati za Shule. Mfano, Miradi ya Nzega, Nachingwea na Mpwapwa ilifanywa na Wahandisi waio na sifa na kupelekea kuwa na majengo yasiyo na kiwango kinachostahili

Wasimamizi wa Miradi hawazingatii Sheria ya Ununuzi ya Umma (2011) na Mwongozo wa OR-TAMISEMI unazozitaka Taasisi zinazofanya manunuzi kuandaa takwimu za Vifaa vitakavyotumika katika utekelezaji wa miradi.
 
Izo kazi hazifanywa hata na wahandisi.....utakuta hata fundi mwenye uzoefu wanampa kazi, lazima ilipuliwe
 
Back
Top Bottom