Mapungufu 8 niliyoyaona kwenye jezi za simba

Akili zako hazikutoshi hata wewe mwenyewe maana umesema hayo mapungufu umeyaona wewe halafu kwenye kuainisha mengine unatuuliza sisi ili iweje wakati wewe ndiyo uliyoichunguza jezi
 
Mi maoni tangu tu waache kutumia watu wenye maumbo mazuri kutangaza jezi zao

Maana watu wenye maumbo mazuri ni 10% tu ya watanzania wote

Ushauri huu nikwa Simba na Yanga
 
MAPUNGUFU KWENYE JEZI YA SIMBA
[emoji3578]Na docky,,,,,, mtafiti,,,,,,,
1. Nembo (logo) haijashonwa, imebandikwa kwa gundi.

2. Mzamini wa bega pia umebandikwa kwa gundi.
3. Wadhamini ni wengi takribani Saba na Bado ata ongezeka wa nane hapo kwenye jezi za CAF.
4.diadora ni nani Hadi awepo kwenye jezi. Mzalishaji sisi tunayemjua ni Jay rutty.
6.Jezi zimezinduliwa saa 4 usiku ila biashara ilianza tokea saa mbili usiku
7. Eti ni kweli ukizifua Zina chuja rangi??[emoji28]
8. Eti Ina mdhamini ambaye ni pombe kwahyo haifai kwendea kanisani Wala msikitini. Ni kweli eti?

,,,, mtafiti,,,,,,nini kimekushangaza_______________

MATOKEO YA MAPUNGUFU HAYA

Jezi hupoteza ubora kwa haraka.

Huwa rahisi kuchanika au kubanduka baada ya muda mfupi.

Inapunguza thamani ya kibiashara na ya kishabiki.

Mashabiki hukosa kuridhika na bidhaa wanazonunua.

Ni bango matangazo kede kede, baango bango.
@highlight
,,,,,,,,, mtafiti.com,,,,,,,,,,,View attachment 3463457

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hupendi gundi kabisa?Kumbe ni gundi tu lakini ni nzuri na inavalika hadi kwenye mikutano ya kiuchumi duniani?
 
Akili zako hazikutoshi hata wewe mwenyewe maana umesema hayo mapungufu umeyaona wewe halafu kwenye kuainisha mengine unatuuliza sisi ili iweje wakati wewe ndiyo uliyoichunguza jezi
Mimi ni mchambuzi mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tukisema huko kwenu wenye akili ni wawili tu muwe mnaelewa, ile inaitwa 3D silicone badge kitu ambacho kwenye replica jerseys ni ngumu kukikuta. tofauti na zile nyasi zenu ambazo replica na original hazitofautiani. NB:kuwa unafuatilia na sio kubeba kila utachokiona mtandaoni, nenda official website za adidas au Nike then soma kit specifications uone kama badges ni za kushonwa au ni 3D silicone rubber
 
Hivi timu nyingine hazitoi sare nchini mbona hamzisemei
. Simba na Yanga hakuna jezi ya maana hapo wote wamechemsha at least hiyo ya simba ya pre season
 
MAPUNGUFU KWENYE JEZI YA SIMBA
[emoji3578]Na docky,,,,,, mtafiti,,,,,,,
1. Nembo (logo) haijashonwa, imebandikwa kwa gundi.

2. Mzamini wa bega pia umebandikwa kwa gundi.
3. Wadhamini ni wengi takribani Saba na Bado ata ongezeka wa nane hapo kwenye jezi za CAF.
4.diadora ni nani Hadi awepo kwenye jezi. Mzalishaji sisi tunayemjua ni Jay rutty.
6.Jezi zimezinduliwa saa 4 usiku ila biashara ilianza tokea saa mbili usiku
7. Eti ni kweli ukizifua Zina chuja rangi??[emoji28]
8. Eti Ina mdhamini ambaye ni pombe kwahyo haifai kwendea kanisani Wala msikitini. Ni kweli eti?

,,,, mtafiti,,,,,,nini kimekushangaza_______________

MATOKEO YA MAPUNGUFU HAYA

Jezi hupoteza ubora kwa haraka.

Huwa rahisi kuchanika au kubanduka baada ya muda mfupi.

Inapunguza thamani ya kibiashara na ya kishabiki.

Mashabiki hukosa kuridhika na bidhaa wanazonunua.

Ni bango matangazo kede kede, baango bango.
@highlight
,,,,,,,,, mtafiti.com,,,,,,,,,,,View attachment 3463457

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sisi waislamu tunaomba hizo jezi zenu za amber ruty msiingiie nazo msikitini , kamari zenu na pombe mbaki nazo huko huko nje
 
Back
Top Bottom