NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imesema kuwa taasisi hiyo ni ya vijana wote bila kujali chama.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa UVCCM taifa, Sixtus Mapunda, wakati akizungumza na wananchi wa Kibaha kwenye viwanja vya Mwendapole.
Vijana wote wa Tanzania karibuni UVCCM mpate mwongozo sahihi wa siasa zenye manufaa na maendeleo kwa Taifa letu.
SOURCE: Tanzania Daima.
NKUU SINDE, Nduguyenu!