MAN OF CHANGES JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 507 Reaction score 191 Dec 16, 2013 #1 Natafuta hoteli,lodge nzuri iliyo nje ya mji kbs moja ya mikoa hii, arusha, mwanza au bukoba kwa ajili ya mapumziko baada ya harusi (honeymoon) . Plz mwenye taarif za kunisaidia ikiwa ni pamoja na jina laa hapo mahali na gharama ntashukuru.
Natafuta hoteli,lodge nzuri iliyo nje ya mji kbs moja ya mikoa hii, arusha, mwanza au bukoba kwa ajili ya mapumziko baada ya harusi (honeymoon) . Plz mwenye taarif za kunisaidia ikiwa ni pamoja na jina laa hapo mahali na gharama ntashukuru.
daviey69 JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 2,234 Reaction score 873 Dec 16, 2013 #2 Arusha nenda Mount Village Serena hotel ipo maeneo ya Tengeru kwa malipo halali ya kama dola 200 hivi fullbord
Arusha nenda Mount Village Serena hotel ipo maeneo ya Tengeru kwa malipo halali ya kama dola 200 hivi fullbord
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,544 Reaction score 30,100 Dec 16, 2013 #3 Arusha nenda Arusha coffee lodge ipo maeneo ya Burka Coffee Estate..
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,481 Reaction score 8,605 Dec 16, 2013 #4 Mwanza nenda Malaika beach resort ukale sato, usisahau kukata ticket ya fast jet mapemaa..
MAN OF CHANGES JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 507 Reaction score 191 Dec 16, 2013 Thread starter #5 asanteni kwa mawazo,ntafuatilia