Kuna jamaa mmoja alikua na makengeza na alikua na matatizo kua kwa mbali aliweza kuona vizuri lakini akiwa karibu ni matatizo.Basi ikatokea siku moja alikwenda airport kumpokea babaake. baada ya kufika Airport na kwa vile alikua kachelewa akamuona babake yuko nje amesimama na begi lake. basi kusimamisha gari tu akakimbilia kumpokea babaake lakini cha kushangaza alipofika akali'hug' begi na kumbeba babaake.