Kajolijo JF-Expert Member May 30, 2016 3,364 4,607 Dec 8, 2018 #1 Hawa jamaa kusema ukweli wanakubalika sana utadhani ni Obama kaja
Victor wa happy JF-Expert Member Apr 24, 2013 11,660 11,641 Dec 8, 2018 #3 Ok nafurahi kuona vijana wa hip hop wanapata riziki walikuwa na hali ngumu
Kajolijo JF-Expert Member May 30, 2016 3,364 4,607 Dec 8, 2018 Thread starter #4 Victor wa happy said: Ok nafurahi kuona vijana wa hip hop wanapata riziki walikuwa na hali ngumu Click to expand... Kweli n mapinduzi ya burudani.. Navuta picha na mawingu wangekua mikoan hadi sasa wangeshakata tamaa ad sahz
Victor wa happy said: Ok nafurahi kuona vijana wa hip hop wanapata riziki walikuwa na hali ngumu Click to expand... Kweli n mapinduzi ya burudani.. Navuta picha na mawingu wangekua mikoan hadi sasa wangeshakata tamaa ad sahz
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,230 17,810 Dec 8, 2018 #5 Ndio muache kumfananisha Diamond na mambo ya kijinga.
Mshuza2 JF-Expert Member Dec 27, 2010 11,015 16,447 Dec 8, 2018 #6 Ila Sumbawanga hawakawii kushusha mvua ya maana na radi juu.
Kajolijo JF-Expert Member May 30, 2016 3,364 4,607 Dec 8, 2018 Thread starter #7 Mshuza2 said: Ila Sumbawanga hawakawii kushusha mvua ya maana na radi juu. Click to expand... Kwa mahaba ayo hawawezi....
Mshuza2 said: Ila Sumbawanga hawakawii kushusha mvua ya maana na radi juu. Click to expand... Kwa mahaba ayo hawawezi....
uchungu JF-Expert Member Jan 10, 2014 337 881 Dec 8, 2018 #8 Hii inadhihirisha ni kias vijana wa kitanzania weng hawana kaz za kufanya
Kajolijo JF-Expert Member May 30, 2016 3,364 4,607 Dec 11, 2018 Thread starter #9 uchungu said: Hii inadhihirisha ni kias vijana wa kitanzania weng hawana kaz za kufanya Click to expand... Kazi za kufanya jumapili mkuu?
uchungu said: Hii inadhihirisha ni kias vijana wa kitanzania weng hawana kaz za kufanya Click to expand... Kazi za kufanya jumapili mkuu?