Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.
Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.
Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.
Bora kwa kuwa huko watu hawajitambui
Ni muhimu kumpokea Dr. Slaa kwa wingi wetu, na kumtia moyo. Si kitu kidogo kufanya kazi kubwa kama aliyoifanya Marekani.
Kwa wale wanaodhani Slaa ni Mzee mno kuwa Rais niwajibu hivi:
Mwai Kibaki alizaliwa mwaka 1931. Alianza kuwa Rais akiwa na miaka 71. Aliendelea kuwa Rais mpaka akafikisha miaka 81. Na Kenya ya leo ina mchango mkubwa sana toka kwa Mwai Kibaki.
Dr. Slaa alizaliwa mwaka 1948. Ana mika 65 tu. Ni rika moja na Rais Kikwete.
Rais Mstaafu Mandela wa Afrika ya Kusini alikuwa Rais mwaka 1984, akiwa na umri wa miaka 75. Na hakuna ubishi kwamba alikuwa kiongozi mzuri sana.
CCM is in tatters. Lakini kuna wachumia tumbo ambao wanaitetea kwa nguvu zote. Mie naona tuwaaache wapige kelele ila sisi twende tumpokee na kumpongeza mpendwa wetu Dr. Slaa.
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.
Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
teh teh...mbavu zangu mkuu!HAMY-D, pamoja na kutokukubaliana na wewe kwa mambo mengi tu, nakupa big up kwa kuchangia uendeshaji wa hili jamvi letu tunalolipenda lakini je, huyu ndugu yako ZeMarcopolo, aliyehamishia humu hadi kitanda, huwezi kumshawishi naye akachangia japo kiduchu?
Kazi ya ufisadi au kazi gani? Hizo ajira millioni 1 walizodanganywa watanzania ndizo zipi? Za kuuza unga?? Maisha bora yako wapi???? Utumbo!!!!!!!Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli. Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi. Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.
Bora kwa kuwa huko watu hawajitambui
Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.
Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.
Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.
Kila nikikuona nakumbuka ulivyokata mauno vizuri kwenye muziki wa Bob Rudala akiwa na In Afrika band! Si mchezo!!!! Siku hizi umeacha? Mbona hata Twanga pepeta hawakuimbi tena? Au ndo uwefulia?
Kweli hicho kichwa chako kinawaza madawa tu nani kasema chadema wakichukua nchi watagawa hela? Au unaifanisha na liccm ambalo limeuza nchi kwa wachina kwa ajili yako? Acha hizo bana.Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.
Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.
Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.
Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Na wewe kakate mauno katika mapokezi ya babu atakaporudi kwenye fungate la Marekani na girlfriend wake
Watu kama huyu mara nyingi huwa hawajitokezi kwenye maandamano. Huwa wanaangalia kwenye TV tu!
Vijana kuweni makini...
Kamanda hapa kwani tunajadili hotuba ya Dr. Slaa au mapokezi yake.Kama uliisikiliza na kuisoma Hotuba ya jana ya Dr Slaa na mahojiano aliyoyafanya je hiki ulichokiandika hapo kwenye RED kina maana na msingi wowote?