Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

Si vizuri kumtukana rais wako.
 
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.

Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Hivi wewe humu jamvini unamokesha na kushinda kutwa nzima uko kazini? Au bangi tu!!
 
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.

Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...

Mkuu unajua sijakitumia siku nyingi sana hivyo nadhani sasa ni wakati muafaka

Msukule wewe hata manyaunyau akichinja paka 20 hauponi tena.Babu amekumaliza kila kitu
Miongoni mwa watu wasiotumia ubongo wao kufikiri... ni kurukia kila kitu kishabiki.. JK anaishia 2015 kikatiba mtahamia chama gani? Ajenda iliyowapeleka CCM itakuwa imekufa.
 
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.

Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Hivi wewe tangu upate hii ajira ya kwenye mitandao umekwishatajirika kweli? Au ndo kwanza umegeuka kuwa mwendawazimu?!!
 
Slaa nae anakuja na staili zile zile za Kikwete, kila akisafiri kidogo akirudi lazima msafara wa viongozi kwenda kumpokea, utadhani alikwenda UN kudai uhuru wa nchi.
 
Slaa nae anakuja na staili zile zile za Kikwete, kila akisafiri kidogo akirudi lazima msafara wa viongozi kwenda kumpokea, utadhani alikwenda UN kudai uhuru wa nchi.

Punguza pumba. Tumia ubongo kwa kufikiri kabla hujamwaga shudu zako
 
Mmmm! mambo mengine hata siyo ya kushabikia wacha nijitafutie kipato kwanza hayo ya slaa siku nyingine....
 
Dharau na kejeli kwa rais zina uhusiano gani na mapokezi ya bwn Slaa ndg yangu! Tatizo malezi ya nje ya ndoa uliyopatiwa ndo matokeo yake haya. Mbuyu Twite na Slaa huoni ni tofauti kama vile mbigu na ardhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…