Mapokezi aliyopewa Zitto Kigoma- Ni kwanini hakuna alama (Bendera, Kombati, n.k) za CHADEMA

Pro-Chadema kila siku mnasema Zitto ni msaliti leo mnataka aweke bendera.

Pro CCM hujamsikia anakwambia atakuwa mtu wa mwisho kutoka sasa kama bado yuko chadema kwa nini anaona aibu kushika bendera na kupiga V ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
 
Pro CCM hujamsikia anakwambia atakuwa mtu wa mwisho kutoka sasa kama bado yuko chadema kwa nini anaona aibu kushika bendera na kupiga V ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
Wewe ndiyo muongo angalia picha Zitto kaonyesha V.
 
Leo mtachambua mpaka alivyo funga nyuzi ya kiatu Zitto, roho zinawauma mpaka mnaumbuka, Mara bendera,Mara kombati,yashawashinda ebu pumzikeni, mwenzenu Mungu kamjalia kipaji anacho na anakubalika,sasa msijitie BP isokua ya lazima, mkimpenda atakua moyoni kwenu,mkimchukia atakua mawazoni mwenu,kwa hivyo chaguo ni lenu.,,,,We Love You Zitto..
 
Nimefuatilia sana picha nyingi zilizowekwa humu JF toka Kigoma wakati wa mapokezi makubwa aliyopewa Mhe. Zitto Zuberi Kabwe.

Cha kushangaza alama za CHADEMA wala sikuziona za kutosha.

Hii inaamnisha nini? Je inawezekana ikawa kwamba waandaaji wa mapokezi yale walisahau bendera na makombati yao ofisini/nyumbani?

Fuatilia picha hizo hapa chini kwa hisani ya: Tema Mate

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nayojiri-kigoma-katika-mapokezi-ya-zitto.html

Mkuu ccm huwa hawavai kombati
 
Tunashukuru kutambua kwamba CCM ndio wameratibu mapokezi yake, lol

Hata bendera ya chama chake kashindwa kuweka? Huyu kweli ataliwa wa kwanza kutoka chadema, kamwe hawezi kuwa wa mwisho
 
zitto ni maarufu kuliko CDM
wala huitaji ufundishwe darasani hili.

Fanya simple research tu
utagundua hilo.

No Zitto,No CDM yenye uwezo wa kujenga hoja
We kweli kapuku,kama yeye ni maarufu kuliko CDM anang'ang'ania nini Chadema wakati hatakiwi..
 
Hahahahahahah lol!!!! Watu wengine kwa kuandika pumb- bana dah!!!!! Eti Zitto ni maarufu kuliko CHADEMA!!!! Kwi kwi kwi kwi na pamoja na umaarufu wake lakini bado akavuliwa uongozi na sasa tunasubiri afukuzwe rasmi.

zitto ni maarufu kuliko CDM
wala huitaji ufundishwe darasani hili.

Fanya simple research tu
utagundua hilo.

No Zitto,No CDM yenye uwezo wa kujenga hoja
 
zitto ni maarufu kuliko CDM
wala huitaji ufundishwe darasani hili.

Fanya simple research tu
utagundua hilo.

No Zitto,No CDM yenye uwezo wa kujenga hoja

Ha ha ha ha,mbulula naona elimu yako ya BRN imekufikisha hapo, mwanzo mlisema CDM haina ubavu wa kumuondoa ,wamemvua vyeo vyote...sasa mmebadili tena track, nabado mtayaleta yote. Angekuwa na nguvu kuliko chama msinge poteza muda wenu kwenye media kufanya propaganda na Masalio
 
zitto ni maarufu kuliko CDM
wala huitaji ufundishwe darasani hili.

Fanya simple research tu
utagundua hilo.

No Zitto,No CDM yenye uwezo wa kujenga hoja

hata lowasa, pamoja na kwamba magamba mnamuogopa kwa sababu ya ufisadi wake uliomwezesha kukjikusanyia ukwasi wa kupitiliza, bado hawezi kuwa maarufu kuliko taasisi anayoitumikia ya mafisadi-ccm,
 
Wafuasi wengi wa CHADEMA hamjui nini mnataka, Leo Dk.Slaa akibadili kauli na kumsifu zitto wote mtageuka na kuanza kumsfu pia, Ndio maana BABU anawaita MISUKULE.
 
Mrema alikuwa maarufu sana Tanzania lakini sasa hivi hata jimboni kwake kwishiney ni swala la muda tuu.
 
Leo mtachambua mpaka alivyo funga nyuzi ya kiatu Zitto, roho zinawauma mpaka mnaumbuka, Mara bendera,Mara kombati,yashawashinda ebu pumzikeni, mwenzenu Mungu kamjalia kipaji anacho na anakubalika,sasa msijitie BP isokua ya lazima, mkimpenda atakua moyoni kwenu,mkimchukia atakua mawazoni mwenu,kwa hivyo chaguo ni lenu.,,,,We Love You Zitto..

umenifanya nimemkumbuka walid kaburu wa enzi hizo. alikuwa anakusanya umati lakini alipoondoka CDM what happened to him? hivi yupo wapi sku hiz jaman? i mean Kaburu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom