Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,495
- 8,538
Walizichoma moto baada ya kusikia kijana wao amenyanyaswa na chadema kwa kuitwa msalitiNimefuatilia sana picha nyingi zilizowekwa humu JF toka Kigoma wakati wa mapokezi makubwa aliyopewa Mhe. Zitto Zuberi Kabwe.
Cha kushangaza alama za CHADEMA wala sikuziona za kutosha.
Hii inaamnisha nini? Je inawezekana ikawa kwamba waandaaji wa mapokezi yale walisahau bendera na makombati yao ofisini/nyumbani?
Fuatilia picha hizo hapa chini kwa hisani ya: Tema Mate
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nayojiri-kigoma-katika-mapokezi-ya-zitto.html
Nimefuatilia sana picha nyingi zilizowekwa humu JF toka Kigoma wakati wa mapokezi makubwa aliyopewa Mhe. Zitto Zuberi Kabwe.
Cha kushangaza alama za CHADEMA wala sikuziona za kutosha.
Hii inaamnisha nini? Je inawezekana ikawa kwamba waandaaji wa mapokezi yale walisahau bendera na makombati yao ofisini/nyumbani?
Fuatilia picha hizo hapa chini kwa hisani ya: Tema Mate
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nayojiri-kigoma-katika-mapokezi-ya-zitto.html
Kwasababu ilikuwa siyo ziara ya chama bali ya mtu binafsi anayeamini yeye ni maarufu kuliko chama kilichomfikisha hapo alipo. Ni upu.mbavu wa hali ya juu kuamini kuwa mapokezi yale yanaashiria kukubalika kwake, hata Nchimbi leo akirudi kwao atapokelewa kama shujaa.

Mimi nadhani pia kunawatu wamehusika katika uhamisishaji wa hayo maandamano na mikutano ambao hawakupenda kuitangaza CDM, kwa vile wangeiongezea promo. Haiwezekani mtu mmoja kuwa na nguvu kuliko taasisi yake, nasema haiwezekani.
kwa hiyo wanataka chama gani?Hawaitaki tena chadema kwa sababu inawabagua
teh teh,kama ni hivo anasubiri nini chadema?zitto ni maarufu kuliko CDM
wala huitaji ufundishwe darasani hili.
Fanya simple research tu
utagundua hilo.
No Zitto,No CDM yenye uwezo wa kujenga hoja
CDM wamemgomea hawawezi kula sahani moja na msaliti hakuna alama ya vyema wala yeye kusema peoples hawezi wakubwa zake watamnyima pesakwaiyo ulitaka Taasis iwe na Nguvu kuliko Zitto?
Kusoma huwezi,hata picha nayo huoni?
R.I.P CDM KIGOMA
kwa hiyo wewe utafurahi jk awe maarufu kuliko ccm? Huo ni unafiki mkubwa!kwaiyo ulitaka Taasis iwe na Nguvu kuliko Zitto?
Kusoma huwezi,hata picha nayo huoni?
R.I.P CDM KIGOMA
Nani anajisi bendera ya chama kumpokea msaliti wanachadema kigoma wamempa zawadi zitto yakumuachie ajichane na wana CCM walishambeba sana kasha kuwa guniaWalizichoma moto baada ya kusikia kijana wao amenyanyaswa na chadema kwa kuitwa msaliti
kwaiyo ulitaka Taasis iwe na Nguvu kuliko Zitto?
Kusoma huwezi,hata picha nayo huoni?
R.I.P CDM KIGOMA
Ha ha Zitto apokelewa na wana CCMHawaitaki tena chadema kwa sababu inawabagua
kwaiyo ulitaka Taasis iwe na Nguvu kuliko Zitto?
Kusoma huwezi,hata picha nayo huoni?
R.I.P CDM KIGOMA
Nakubaliana na wewe kabisa, sasa kwa nini ZITTO anangangania CHADEMA wakati wanachi wake hawakitaki?Hawaitaki tena chadema kwa sababu inawabagua
ha ha au nao wanaibagua chadema kwa sababu ni MACCMHawaitaki tena chadema kwa sababu inawabagua