Mapokezi aliyopewa Zitto Kigoma- Ni kwanini hakuna alama (Bendera, Kombati, n.k) za CHADEMA

Mfikirishi

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,471
8,504
Nimefuatilia sana picha nyingi zilizowekwa humu JF toka Kigoma wakati wa mapokezi makubwa aliyopewa Mhe. Zitto Zuberi Kabwe.

Cha kushangaza alama za CHADEMA wala sikuziona za kutosha.

Hii inaamnisha nini? Je inawezekana ikawa kwamba waandaaji wa mapokezi yale walisahau bendera na makombati yao ofisini/nyumbani?

Fuatilia picha hizo hapa chini kwa hisani ya: Tema Mate

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nayojiri-kigoma-katika-mapokezi-ya-zitto.html
 
Walizichoma moto baada ya kusikia kijana wao amenyanyaswa na chadema kwa kuitwa msaliti
 
Kwasababu ilikuwa siyo ziara ya chama bali ya mtu binafsi anayeamini yeye ni maarufu kuliko chama kilichomfikisha hapo alipo. Ni upu.mbavu wa hali ya juu kuamini kuwa mapokezi yale yanaashiria kukubalika kwake, hata Nchimbi leo akirudi kwao atapokelewa kama shujaa.
 
Mimi nadhani pia kunawatu wamehusika katika uhamisishaji wa hayo maandamano na mikutano ambao hawakupenda kuitangaza CDM, kwa vile wangeiongezea promo. Haiwezekani mtu mmoja kuwa na nguvu kuliko taasisi yake, nasema haiwezekani.
 
zitto ni maarufu kuliko CDM
wala huitaji ufundishwe darasani hili.

Fanya simple research tu
utagundua hilo.

No Zitto,No CDM yenye uwezo wa kujenga hoja
 
Mimi nadhani pia kunawatu wamehusika katika uhamisishaji wa hayo maandamano na mikutano ambao hawakupenda kuitangaza CDM, kwa vile wangeiongezea promo. Haiwezekani mtu mmoja kuwa na nguvu kuliko taasisi yake, nasema haiwezekani.

kwaiyo ulitaka Taasis iwe na Nguvu kuliko Zitto?

Kusoma huwezi,hata picha nayo huoni?

R.I.P CDM KIGOMA
 
CDM wamemgomea hawawezi kula sahani moja na msaliti hakuna alama ya vyema wala yeye kusema peoples hawezi wakubwa zake watamnyima pesa
 
Walizichoma moto baada ya kusikia kijana wao amenyanyaswa na chadema kwa kuitwa msaliti
Nani anajisi bendera ya chama kumpokea msaliti wanachadema kigoma wamempa zawadi zitto yakumuachie ajichane na wana CCM walishambeba sana kasha kuwa gunia
 
kwaiyo ulitaka Taasis iwe na Nguvu kuliko Zitto?

Kusoma huwezi,hata picha nayo huoni?

R.I.P CDM KIGOMA

Kipindi mgogoro upo moto mlikuwa mnaandika R.I.P CDM Mlivyoona kasi ya chadema bado ni 100% mmebadili R.I.P CDM KIGOMA. Msipime kina cha maji kwa mguu. peeeeeopleeeees!
 
kwaiyo ulitaka Taasis iwe na Nguvu kuliko Zitto?

Kusoma huwezi,hata picha nayo huoni?

R.I.P CDM KIGOMA

Mie nilidhani unaiongelea CDM Taifa kumbe unaiongelea CDM Kigoma. CDM kigoma watasimama na Zitto kwakuwa ni wa kwao, watanzania tutasimama na CDM kwasababu CDM ilikuwepo kabla ya Zitto. Mimi kadi yangu ya CDM nilichukua 2003 kpindi hicho hata sikuwahi kumsikia Zitto, hivyo hata akiondoka leo aende tu.....
 
mwisho wa siku Zito ni mwanachama wa CHADEMA waende na bendera wasiende nazo hakumfanyi zito kuwa sio mwanachama mbona hata Loawasa alipojihudhulu jimboni kwake alipokelewa kwa shangwe japo aliiba
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom