Mapito ya career woman

Status
Not open for further replies.
Hebu ngoja nikuulize mwanamke akishafanya hayo yote anapata nini in return toka kwa mumewe, mbona kama taratibu mnaanza kujipunguzia umuhimu wenu kwa wanawake, kama ukitaka mwanamke afanye majukumu yake na bado akusaidie na yako sasa wewe kwake utakuwa na umuhimu gani

Anyway wewe endelea kuongea fantasies sisi tunaongelea reality tunayoiona kwenye jamii, uzuri humu jf yeyote anaweza andika lolote mradi tu atetee hoja yake, ila wote tunajua ni ngumu kumtawala mwanamke anaye jitegemea kiuchumi na kuchangia pato la familia hata wanaume wenyewe wanakiri hilo

Yani labda ukutane na mwanamke mwenye low self esteem asiyejiamini na yuko desperate na ndoa anaogopa kuachika ndio atafanya hayo, hao tunawahesabia kama masimp wa kike na ndio hao mwisho wa siku wakipigwa matukio wanakuja kujiliza, utasikia "oo wanaume hawana shukurani nilijitoa kwake nilimfanyia kila kitu ila bado kanisaliti au kaniacha blah blah" utadhani alitumwa
 
This is bitter Truth, When a lady pursue Career ambitions, She can do anything to archive it
 
Suala la utiifu wa mke kwa mumewe ilo sio negotiable, ni obligation. Lakini suala la kulipa bill za nyumbani ilo ni la kujadiliwa kulingana na scale ya vipato vya mume na mke
 
ila we jamaa

mi nashangaaa unawaandama sana wanawake sijui kwanini as if wewe ni mkamilifu sana.

nadhani ujifunze kufata biashara zako hapa duniani mengine hayakuhusu. kusengenya watu kwa ubaya ni dhambi pia
 
Suala la utiifu wa mke kwa mumewe ilo sio negotiable, ni obligation. Lakini suala la kulipa bill za nyumbani ilo ni la kujadiliwa kulingana na scale ya vipato vya mume na mke
Kama ambavyo suala la mume kuhudumia mke na watoto ni obligation, tofauti na hapo hustahili na huna haki ya kupewa utii na mke wako, narudia hakuna mamlaka bila wajibu popote pale duniani hilo halipo
 
Kama ambavyo suala la mume kuhudumia mke na watoto ni obligation, tofauti na hapo hustahili na huna haki ya kupewa utii na mke wako, narudia hakuna mamlaka bila wajibu popote pale duniani hilo halipo
ukishakua na kipato automaticaly hauna tena privilege ya kuhudumiwa. Lakini hakuna namna yoyoyte ambayo kipato chako kinakulazimu kushindwa kumweshimu na kumtii mumeo.

Hapa labda useme tu asili yako ni ujeuri, ila unalazimika kuificha katika nyakati ambazo unamtegemea mwanaume kiuchumi.
 
Wanawake wa jf watabisha ila hayo ndo maisha halisi ya mabinti huko vyuoni na wengi tabia na kuiga maisha huanzia huko
 
Kwa hiyo ukiwa hutoi matumizi home say umepata mtihani kwny kipato hustahili kupewa huduma za baba?
🚮
 
Hujanijibu swali langu nimeuliza mwanamke akifanya hayo yote, anapata nini in return toka kwa huyo mwanaume wake, na huyo mwanaume anakuwa na umuhimu gani kwa mwanamke wake jibu kwanza hili

Sasa kama unaona mwanamke akiwa na kipato hana privilege ya kuhudumiwa, kwanini na wewe usione kwamba ukishaacha kumhudumia mwanamke huna privilege ya kumtawala, sababu kakupunguzia mzigo wa majukumu au wewe unadhani msingi wa utii wa mwanamke kwa mumewe ni nini

Ndio maana huwa mnaambiwa chagueni moja ni either muoe mahousewife wanaowategemea ili mpate heshima mnayoitaka, au muoe career women wanaojitegemea lakini hamtapata heshima mnayoitaka yani ni lazima mchose kimoja na msacrifice kimoja, kwa sababu huwezi kupata vyote hivyo kwa mwanamke mmoja vinginevyo achana na wanawake kabisa
 
Wanazitaka bikra wakiambiwa zipo wanapinga
Hv unaelewa kweli
Si ndio hapo sasa, pia wanasema mabinti wakiwa kwenye prime age hawataki kuolewa katika umri huo ni hadi wachezewe kwanza ndio wanaanza kutafuta ndoa, halafu hapo hapo wanashauriana eti mwanaume ukitaka kuoa kaoe binti bikira, wanasahau kwamba walishasema mabinti bikira hawako tayari kuolewa mapema, yani wanatia huruma hawajui hata wanachokipigania masikini
 
Hujanijibu swali langu nimeuliza mwanamke akifanya hayo yote, anapata nini in return toka kwa huyo mwanaume wake, na huyo mwanaume anakuwa na umuhimu gani kwa mwanamke wake jibu kwanza hili
Mkishaamua kuishi kama mume na mke mnakua kitu kimoja. Mnajenga familia kwa ushirikiano sio terms za kusema mimi nikitoa hiki lazima nipate hiki.
Mara nyingi sana nishawahi kukwambia unashindwa kutofautisha uongozi wa mwanaume kwenye familia na utumwa. Wewe ukisikia mwanaume kama kiongozi wa familia basi unajenga picha ni jamaa mmoja katili, akiangia nyumbani ni mwendo wa kumtandika makofi na kumtumikisha mke wake. Hatuishi na wake wetu hivyo kama picha uliyoijenga kichwani mwako
mimi nitakubaliana na suala mwnamke kushindwa kutimiza majukumu yake nyumbani na kazini kwa pamoja. Yaani awe nyumbani kupika na hapo hapo awe ofisini kwake, hii haiwezekani, na ndio maana katika ndoa kama izo huwa anaajiriwa housegirl

Lakini hakuna namna yoyote ambayo kipato chako kitakuzuia kumweshimu mumeo. Kwamba upo sebureni unaangalia movie mumeo katokea na kukuongelesha halafu kipato chako kikuzuie kuweka pause iyo movie ili umsikilize kwanza mumeo.!

Kwamba unatoka kuna sehemu unaenda halafu kipato chako kikuzuie kumuaga mumeo na kumjulisha unapoenda.!

Huo ni ujeuri wako binafsi, hakuna uhusiano wowote wa kipato chako na iyo career yako
 
years ago niliangalia documentary ya BBC. Walikuwa wanazungumzia haya masuala. The average woman in the UK alikuwa amepitiwa na 700men kabla ya kusettle. Aisee...
 
years ago niliangalia documentary ya BBC. Walikuwa wanazungumzia haya masuala. The average woman in the UK alikuwa amepitiwa na 700men kabla ya kusettle. Aisee...
Haya mambo yanafanyika sirini, na hata wanawake wakiulizwa wanaficha ndio maana ukisema demu anamaliza chuo na body count ya 100+ watu wanashangaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…