Mapito ya career woman

Status
Not open for further replies.
Kwani wewe umesoma chuo gani ambacho kila binti anatembea na 100+ men?
Wapo wanaomaliza na body count iyo. Hao ndio mademu tuliokua tunaponea wakati wa kujitafuta, hata sasa hivi tunakutana nao viwanja kwaiyo information zao tunazo. Demu akiwa na wastani wa kulala na mwanaume mmoja kwa wiki miaka mitatu ya chuo mbona iyo namba inafika.

Nyie ambao mnawaingilia mademu kwa gia za kigentleman ni ngumu kujua ukweli. Ukiishi na mademu kibadboy ni rahisi hata wao wenyewe kukwambia nyendo zao
 
UDOM hata uwe mwaka wa tano, unakaa hostel, japo una Uhuru wa kukaa nje, kule hostel zipo nyingi tu.
Bweni kwa maana ya hostel za chuo huwa wanakaa mwaka wa kwanza, kuanzia mwaka wa pili huwa wanapanga mageto au kukaa hostel za nje ya chuo.
 
Ukweli kabisaa!
 
Wewe umesoma chuo gani ambacho kila wiki kila msichana analala na mwanaume?. Naona unataka kulazimisha umma kuwa mabinti wote waliomaliza chuo body count ni 100+?
 
Hata hivyo kwani ni wasichana wangapi wanapitia hiyo series ya hao wanaume wote?

Unaweza kukuta ni wasichana 4 kati ya 50,000 ndio wanapitia hiyo trend ya hao wanaume. Acha kupotosha umma
Nilipita pita chuo fulani, kule kuna hostel zipo BLOCK A-F, A&B NI WASICHANA, C HADI E NI WANAUME, F NI POSTGRADUATE{ME &KE}..
wakati wa zero draft za ratiba za masomo, weekend kama hakuna test, na mitihan ya UE ikiwa imeisha utakuta wamekaa wawili wawili usiku has baada ya kutoka canteen/complex..
kinachoendelea hapo n matumiz ya midomo mwanzo mwisho, ukikutwa na auxilliary pt ndo hvo..huko kuna uwanja, ukiingia tu upo kushoto, sasa kule mwisho wa uwanja mwisho kabsa kwenye ukuta buguruni ikasome.. kuna wale wanajiandaa kutoka hujifanya walokole kukaa kwenye mnara a.k.a block G.
ulipaswa useme 4/50000 ndo hawafanyi angalau body count inasome kwenye gauge ya 3 au 4.

ZILE HOSTEL NI SODOMA ILIYOPAKWA RANGI YA BLUE BAHARI ILIYOFIFIA.
 
Mkwawa hapo
 
Kwahiyo ukawapiga threesome?
 
Mimi nipo hapa kijichi kuna kiwanja kinaitwa getway kila wikiend mademu wa TIA wa campus ya kurasini wanakuwepo kibao. Taarifa za hawa mademu tunazijua vzr tu.

Nimesoma na kuishi Mbeya, Arusha, Iringa, Morogoro yanayofanywa na wanafunzi wa chuo ndio hayo hayo uliyoyasema
 
Natafuta Ajira hayuko timamu...labda hao wanachuo wanangonoka na same sex .kama na wanaume basi akemee wotee...❌
Fuatilieni mienendo ya mabinti na wadogo zenu wa kike uko chuoni wanaposoma. Kwenye suala la sex mwanaume na mwanamke hauwezi kuwaweka kwenye mzani mmoja.

Mwanaume hata akiwa na list ndefu wakati wa kuoa ukifika ilo sio tatizo kabisa, lakini mwanamke akiwa na list ndefu iyo inamchafulia profile yake.

Mwanaume anazaliwa akiwa hana thamani, anatakiwa kuitengeneza thamani yake ndio maana kinachozingatiwa ni future yake. Mwanamke anazaliwa akiwa na thamani anatakiwa kuilinda thamani yake ndio maana kinachozingatiwa ni past yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…