Mapito ya career woman

Status
Not open for further replies.
Hata hivyo kwani ni wasichana wangapi wanapitia hiyo series ya hao wanaume wote?

Unaweza kukuta ni wasichana 4 kati ya 50,000 ndio wanapitia hiyo trend ya hao wanaume. Acha kupotosha umma
Demu analiwa na wanaume 100+ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, huyu braza anakuaga na hoja ila kuna mambo anazidisha sana.

Hiyo pisi haina ishu za kufanya zaidi ya kuzagamuliwa.
 
Ni kweli,ila kwenye body count umezidisha
 
Simp #mwanaume bwegeeee zezeta
 
Chuo ni hatari hakuna bikra inakatisha engo hiyo .......

Mimi mwenyewe nilizizibua kweli ushauri usioe mwanamke mwenye degree

Za kuambiwa changanya na zako.
Wee acha kudanganya waja, wapo walio maliza chuo na bikra zao.
 
Wafanye wakuzoee, wawe huru kuongea na wewe kila kitu. Halafu waulize hilo swali. Utakuwa surprised. Wasichana wanatongozwa sana, kazi yake ni kukubali au kukataa tu.
Hakuna asiejua hilo kua wanatongozwa sana, mnaandikaga mambo kama hamuishi nao vile.

Wewe unaamini kila demu aliepita chuo kaliwa kama hivyo mleta uzi alivyoandika??

Wapo mademu hiyo ndio lifestyle yao ila sio kila mwanachuo mzee.
 
Ifike hatua jamii au waja mkubali ukweli ulioko hata km hamuutaki.

Hivi hawa wanawake wanatolewa hizo bikra na kina nani? Kwann nyie wanaume msitulie bila kuwatongoza wasichana, ili wabaki na bikra hadi watakapo olewa?

Kuwaharibu mnawaharibu wenyewe, afu lawama na kero mnazitua kwao, hivi mko timamu? Si ndio nyie mnahamasisha kijana akisha balehe atembeze rungu km mlinzi mpya Getini, na asipofanya hivyo mna muona aidha khanithi au shoga, sasa mnalaumu nn? Matokeo ndio hayo,

Tumechoka kelele zenu, kwani lazima kuoa? Si ukae single tyuu. Mxxxxiiiieeeew
 
Waliojitunza bado wapo mkuu
 
Demu analiwa na wanaume 100+ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, huyu braza anakuaga na hoja ila kuna mambo anazidisha sana.

Hiyo pisi haina ishu za kufanya zaidi ya kuzagamuliwa.
Unashangaa mkuu. Mademu wa UDSM kuanzia ijumaa mpaka jpl wapo kitambaa cheupe pale sinza. Akilala na wanaume wawili kwa wiki piga hesabu mpaka amalize miaka mitatu ya chuo
 
Hakuna asiejua hilo kua wanatongozwa sana, mnaandikaga mambo kama hamuishi nao vile.

Wewe unaamini kila demu aliepita chuo kaliwa kama hivyo mleta uzi alivyoandika??

Wapo mademu hiyo ndio lifestyle yao ila sio kila mwanachuo mzee.
Mkuu wanafunzi wa chuo wanachapwa sana. Mimi naishi kijichi kila wikiend wanafunzi wa TIA pale kusini wanakuwepo getway pub hapa.
 
Bado tunaongelea bikra na ndoa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ningetuma voicenotes ya mke ya mutu akiconfess jinsi yuko excited na penzi jipya na mume wa mtu na jinsi wanavyoheshimu mahusiano yao sababu wana familia zao na mwanamke aliolewa bikra sema ndio hivyo ni mtu namuheshimu
 
Demu analiwa na wanaume 100+ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, huyu braza anakuaga na hoja ila kuna mambo anazidisha sana.

Hiyo pisi haina ishu za kufanya zaidi ya kuzagamuliwa.
Kama unacho hata kiberiti tu(gari ndogo) cha kuzulula mjini ukiingia viwanja wewe ning'iniza funguo kwenye luks za suruali au iweke mezani ulipokaa. Nakwambia hata wawili unaondoka nao.
 
Hakuna asiejua hilo kua wanatongozwa sana, mnaandikaga mambo kama hamuishi nao vile.

Wewe unaamini kila demu aliepita chuo kaliwa kama hivyo mleta uzi alivyoandika??

Wapo mademu hiyo ndio lifestyle yao ila sio kila mwanachuo mzee.
Kama mwezi hivi umepita nilikua iringa. Wikiend moja nikaingia club moja hivi ipo ghorofani inaitwa warm up. Wakajisogeza mabinti wawili pale kupiga piga nao story waliniambia wanasoma Tumaini university.

Baada ya kuwapiga maswali mawili matatu nikajihakikishia ni kweli wanasoma tumaini maana kile huo mimi nakijua vizuri, mzee wangu alikua lecturer pale baada ya kustaafu serikalini.

TUmepiga mtungi mdogo mdogo mpaka mida fulani nikauwauliza utaratibu wa kuondoka upoje wakaniambia wote wawili 60k.

Mzee wangu alikua lecturer wa mzumbe, alivyostaafu Tumaini wakamchukua. Maisha ya mademu wa chuo nayajua vizuri sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ