Mapito ya career woman

Status
Not open for further replies.
Naona haya ni maisha ya msichana anaekua kutoka familia MASIKINI

yaani wote hao wanamtomba in exchange ya huduma mbalimbali na wala sio kutombana sababu ya upendo au connection au just pleasure

ni kutombana as a transaction ya huduma mbalimbali

huu ni UMASIKINI!

angekua tajiri au familia tajiri tungekua tunaongea route tofauti kabisa

shida hapo sio uzinzi,shida hapo ni UMASIKINI
 
Kuna wala hawatoki kwwnye familia masikini. Unakuta wazazi wao wanajitahidi kuwahudumia lakini tamaa nyingi
 
Ushamba tu umeandika hapa kama kiswahili andika kiswahili kama ni kingereza andika kingereza tupite iv
 
Hii paragraph imeniuma sana hadi kumoyo
 
Hata hivyo kwani ni wasichana wangapi wanapitia hiyo series ya hao wanaume wote?

Unaweza kukuta ni wasichana 4 kati ya 50,000 ndio wanapitia hiyo trend ya hao wanaume. Acha kupotosha umma
Usijidanganye. ......katika 100 lazima 10 wako kwnye hii categori
 
Wazungu wanaolewa na miaka 21 (Ulaya na Marekani) hawa wa kwetu muda huu ndio wanadanga wakiamini wao ni malikia

ndio maana ni vyepesi sana kwa wazungu kuwa na vizazi 4(kawaida sana) mama akiwa na miaka 42 ana mjukuu tayari wakati huku kwetu miaka 42 ana mtoto wa miaka 5


Nje ya Mada
Watoto wa mudi wao wanaolewa wakiwa na miaka 9
 
Kuna wala hawatoki kwwnye familia masikini. Unakuta wazazi wao wanajitahidi kuwahudumia lakini tamaa nyingi
hao matajiri ila wanataka huduma at least watakua na standards zao

masikini ni worse zaidi

hapa kikubwa ni umasikini wala si tabia

kitabia wanadamu wote ni average tu,ila umasikini is a motherfucker mzee usipime kabisa!
 
hao matajiri ila wanataka huduma at least watakua na standards zao

masikini ni worse zaidi

hapa kikubwa ni umasikini wala si tabia

kitabia wanadamu wote ni average tu,ila umasikini is a motherfucker mzee usipime kabisa!
Mkuu umaskini ndio unawawezesha kufanya House party na starehe za gharama?
 
Mkuu nadhani kila zama zina mahitaji yake kwa mwanamme wa ndoa,mahitaji ya bikra nadhani ilikuwa zama za zamani,kwa sasa ukipata mwanamke wa ndoa na akawa na uwezo wa kutunga mimba tu shukuru Mungu.

Kuna rafiki zangu wawili madeadly simps waliingia kikristo kwenye ndoa hadi leo jina la baba wanalisikia kwenye sala tu.
Mungu atufanyie wepesi.
 
Miaka 21 kamaliza University kwa taarifa yako
 
Adele kaolewa lini? Beyonce?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…