Pilau pia unalipenda??
Pilau chakula kama chakula...Pilau pia unalipenda??
Mwachiluwi huyu sasa ndo pilau lenyewe ๐
Nimemfatilia weeh jamaa anajua mpaka anakera,๐๐apate na kitoto cha Tanga mbona tutaisoma NambaMwachiluwi huyu sasa ndo pilau lenyewe ๐
Kwakweli akaoe tanga au pemba washindane na mkewe kupika ๐Nimemfatilia weeh jamaa anajua mpaka anakera,๐๐apate na kitoto cha Tanga mbona tutaisoma Namba
Umefanya nichekeKwakweli akaoe tanga au pemba washindane na mkewe kupika ๐
Sema unajua sana rafiki afu sio mvivu kupikaUmefanya nicheke
natamani pasaka tupike liveSema unajua sana rafiki afu sio mvivu kupika
Kabisa tupike aseeenatamani pasaka tupike live
Nitaanda threaadKabisa tupike aseee
Ulifanikiwa mkuu? Tunaomba mrejesho Kama hautojali.Nataka kupika pilau ila sijawahi kupika. Wabobezi wa mapishi hayo nahitaji ushauri wenu nifanyaje ili nipike pilau zuri. Ni mara ya kwanza nataka nipike chakula hicho pendwa, nahofia nisijepika madabudabu nikaishia kumwaga. Sitaki pilau bubu nataka pilau lenyewe hasa, naombeni msaada wenu wapishi werevu kabla sijanunua mahitaji