Kweli? Hata ukiutia kitunguu thomu na tangawizi?
Na hata ukiwiva hao vidudu hawajafa tu?
Huko kuna utumbo s/market et?
Na hata ukiwiva hao vidudu hawajafa tu?
ahhhh we mchokozi :wacko: this is my favorite food ever.....hii kitu naweza kula dailyyy....umenitamanisha na utumbo siupati mpaka niende nchi ya jirani....
haaaa husahau wewe?...halafu ukaona unijaze mimate kabisa na kachumbari na pilipili hio :A S-eek:Pole habibty leo zamu yako si umeninyima bokoboko wewe?