Recipe ya mama yangu.
Mahitaji
1: kisamvu kilichotwangwa na vitunguu saum, (waweza blend kama huna kinu) vikombe 2
2: vitunguu maji viwili vikubwa.
3: mafuta kidogo
4: karanga zilizosiginwa (sagwa na kulainika) 3/4 kikombe.
5: chumvi kwa ladha.
Hatua
1: chemsha kisamvu kwa maji mengi mpaka kiive (mara nyingi utahitaji kuongeza maji maana kisamvu kina sumu ambayo huondoshwa kwa joto)
2. Chukua sifuria nyingine, weka mafuta na kaanga vitunguu vyako mpaka vilainike na kuanza kubadili rangi.
3: Weka kisamvu kwenye vitunguu, kaanga kwa dakika 3-5.
4: Weka karanga na changanya kama unasonga ugali vile mpaka ichanganyikane vizuri ongeza na chumvi kwa ladha.
NB:
Waweza weka nyanya wakati unakaanga vitunguu.
Kisamvu cha Kinyamwezi hakina mchuzi hivyo hakikisha maji yamepungua au kukauka wakati unaweka kwenye vitunguu vyako.
Karanga nyingi ni siri ya kisamvu cha kinyamwezi
Ngoja watumia nazi waje watoe namna yao.
Recipe ya mama yangu.
Mahitaji
1: kisamvu kilichotwangwa na vitunguu thoum, (waweza blend kama huna kinu) vikombe 2
2: vitunguu maji viwili vikubwa.
3: mafuta kidogo
4: karanga zilizosiginwa (sagwa na kulainika) 3/4 kikombe.
5: chumvi kwa ladha.
Hatua.
1: chemsha kisamvu kwa maji mengi mpaka kiive (mara nyingi utahitaji kuongeza maji maana kisamvu kina sumu ambayo huondoshwa kwa joto)
2. Chukua sifuria nyingine, weka mafuta na kaanga vitunguu vyako mpaka vilainike na kuanza kubadili rangi.
3: weka kisamvu kwenye vitunguu, kaanga kwa dakika 3-5.
4: weka karanga na changanya kama unasonga ugali vile mpaka ichanganyikane vizuri ongeza na chumvi kwa ladha.
NB:
Waweza weka nyanya wakati unakaanga vitunguu.
Kisamvu cha kinyamwezi hakina mchuzi hivyo hakikisha maji yamepungua au kukauka wakati unaweka kwenye vitunguu vyako.

Ira ukiweka na ka piripiri na ka iliki kwa bari kananogaga? Au kwenye unyamwezi hamwekagi? Waarike na wa samli baada ya wenye nazi.
Recipe ya mama yangu.
Mahitaji
1: kisamvu kilichotwangwa na vitunguu thoum, (waweza blend kama huna kinu) vikombe 2
2: vitunguu maji viwili vikubwa.
3: mafuta kidogo
4: karanga zilizosiginwa (sagwa na kulainika) 3/4 kikombe.
5: chumvi kwa ladha.
Hatua.
1: chemsha kisamvu kwa maji mengi mpaka kiive (mara nyingi utahitaji kuongeza maji maana kisamvu kina sumu ambayo huondoshwa kwa joto)
2. Chukua sifuria nyingine, weka mafuta na kaanga vitunguu vyako mpaka vilainike na kuanza kubadili rangi.
3: weka kisamvu kwenye vitunguu, kaanga kwa dakika 3-5.
4: weka karanga na changanya kama unasonga ugali vile mpaka ichanganyikane vizuri ongeza na chumvi kwa ladha.
NB:
Waweza weka nyanya wakati unakaanga vitunguu.
Kisamvu cha kinyamwezi hakina mchuzi hivyo hakikisha maji yamepungua au kukauka wakati unaweka kwenye vitunguu vyako.
Karanga nyingi ni siri ya kisamvu cha kinyamwezi
Ngoja watumia nazi waje watoe namna yao.
Asanteni kwa somo zuri, naomba na wapishi wa nazi mnifunze tafadhal.

Kaunga, recipe nzuri. Halafu umewahi kula kile kisamvu cha wanyarwanda? wanaita Isombe. Mie kinachonishinda wanaweka na samaki samaki aliyekaushwa (rafiki yangu huwa anamkatakata samaki).. Ila wenyewe wanaipenda sanaaa hiyo Isombe.
Mie nilikipenda sana nilikula kule 'Rubavu' boda ya Rwanda na DRc wanapika vizuri sana. Lusaka niliona wanaweka maziwa kitamu kweli ha ha mapishi haya si mchezo....
Upo mrembo??? Missing u so much.....
viola richard
. . .Kwanza kabisa unakichemsha kwa chumvi kidogo,maji na pilipili kidogo kama unapenda, mpaka kialainike. Kati ya saa 1 - 2 kutegemea na moto wako (aina ya jiko). Uwe unaangalia maji mara kwa mara ili kisiungue.
. . .#2 Kaanga vitunguu, vikiiva weka kisamvu chako kikiwa kikavu (kama kuna mchuzi uache kwanza).
. . .#3 Weka ule mchuzi ukifuatiwa na nazi au karanga (zilizosagwa) kuendana na matakwa yako. Punguza moto na acha ulichoweka (karanga/nazi) kiivie vizuri. Usiache kuangalia na kukoroga mara kwa mara ili kisiungue.
Ngoja wakina farkhina , King'asti , Kaunga na wengine waje kukupa maujanja zaidi maana nasikiaga wengine wanaweka mpaka nyama na vikorokoro vingine vingine. Mi naishiaga kwenye pilipili na nazi/karanga tu.
Hiki kisamvu kwa karanga ndio noma ila nazi hamna kitu..