Nafikiri alikuwa wa baharini, lakini kumbuka kuwa hata nyoka wa nchi kavu anaweza kusihi baharini. Wao wenyewe walisema hata nyoka wa nchi kavu wote wana radha ya aina moja tu. Kinahitajiwa ufundi wa kumuua kusudi sumu yake isisambae kwenye nyama. Huko japan kuna wapishi maalumu ya nyama ya nyoka; lazima nyoka akikamatwa anelewa akiwa hai halafu mpishi mwenye ndiye anamchinja.