Mahmood ,fanya mambo njaa inauma bhana ,nimeidownload na kuinstal .sasa ninapojaaribu kuifungua napata orodha tu nikiselect hamna liwalo !nifahamishe faster njaa inauma na wife kasafiri
Update!
Basi Mkuu mambo yako sawa sasa ,wacha niingie jikoni nafikiri nilikuwa na pupa kwa ajili ya njaa!
nitakuwa nakusa nidhamu na adabu nisiposema SHUKRAN SANA MKUU... among my best hobbies ukiachilia mbali computer ni mapishi,na sijisikii raha kam nikimaliza wiki sijaingia jikoni mwenyewe yena kwa raha na kupika ila hii ninyongeza tamu sana katika collection yangu,.. narudia tena SHUKRAN SANA kwa kazi safi uliyoitend.. tafadhali nipatie na website kama ipo nizidi kujipatia mapishi mapya kila leo... kazi nzuri mkuu Mahmood