Ms._wise_always
Member
- Mar 6, 2015
- 15
- 21
jamani hz ni pumba sio tetes⬇⬇
Naituma kama nilivyopokea :- Tetesi.
Kikao kinachoendelea Dodoma cha ccm, Kimebaini yafuatayo:-
1. Gazeti la uhuru na habari leo, yameshindwa kabisa kumnadi mgombea wao, kwa sababu Watu hawana muda nayo na yameisha dharaulika.
2.Mgombea mwenza ,hakubaliki zanzibar kwa sababu alikuwa makamu mwenyekiti bunge la katiba na aliwasaliti wazanzibari.
3. MAGUFULI HAUZIKI NA HAKUNA KIONGOZI WA CCM ATAKAE WEZA KUMUUZA MAGUFULI,
Nguvu zote zinazotumiwa na KIKWETE kumnadi magufuri kila sherehe na ziara zake zote kwa sasa , Nae Jk Amekiri Magufuri hauziki.
4. Kikao hicho kimegundua tena kwamba lowassa kutovaa nguo za CHADEMA zimewachanganya wanachama wa ccm vijijini. Mpaka sasa vijijini wanafaham LOWASSA ndiye mgombea wa Urais.
5.vigogo wa ccm wakubwa na wastaafu wamegoma kutoa ushauri na wengine wakizidi kurudia kauli zao wakisema.
"Tuhuma za kipuuzi zisitunyime Rais Bora"
RAIS BORA NI LOWASSA.
na wengine wanasema CHUZI ZIMETUPONZA.
6. ADUI WA CCM YUPO NDANI YA CCM NA NJE YA Ccm.
WENYEVITI WENGINE WA CCM WAMEGOMA KUHAMA CHAMA HICHO KWA LENGO LA KUIMALIZA CCM NDANI KWA NDANI ,ili wahakikishe Lowassa anashinda.
7. Nusu ya wanachama wa ccm wanamhitaji Lowassa wakiwemo na viongozi wakubwa wa chama hicho.
Tetesi kikao kinaendelea ila viongoz wakubwa wa ccm na mawazir wengi wamesingizia kustaafu na kuachana na siasa, Lengo kubwa kumsapoti lowassa Indirect.
source, kiongozi anaemsapoti Lowassa na anashiriki vikao Dodoma ila hafahamiki.
na hz pia ni pumba zaid kama za mwenzako🔻🔻🔻
Nimekaa kimya kidogo lengo langu nilikuwa napitia machapisho na vitabu mbalimbali kuhusu maswala ya siasa.
LEO MIMI KAKONJAGILE NAANDIKA MAKALA YENYE KICHWA CHA HABARI
LOWASSA KUHAMIA UKAWA NIJAMBO LA KISHUJAA. KWA NINI NASEMA HIVI FUATILIA MAKALA HII
Uzoefu unaonyesha kwamba vyama tawala utumia gharama kubwa kuumba fitina dhidi ya wanasiasa wanaoonekana kuwa maarufu na tishio. Huweza kununua mashaidi, kitengeneza nyaraka lengo kutaka kuharalisha fitina zao. Lakini wale wanaoumbiwa fitina kadili wanavyokuwa wanaendelea kuwekewa makwazo ndivyo wanavyojizolea umaarufu na kupata wafuasi wengi katika jamii.
MIFANO MBALIMBALI KATIKA KUTHIBITISHA HILI.
1. Nchini Marekani RONALD REAGAN alikuwa kipenzi cha watu katka chama cha Democratic, lakini alinuka ghafra alipomwandikia barua makamu wa Rais Richard Nixon kuhusu rais J. F. Kenedy kwamba anamawazo ya kizee kama Karl Marx. Suala hili lilimpelekea kusakamwa kila kukicha na kupelekea kuhama chama na kwenda Repiblican, alipoulizwa na waandishi wa habari Reagan alijibu SIJAITEMA DEMOCRATIC BALI DEMOCRATIC IMENITEMA
Huyo ndiye baadaye mwaka 1981 aligombea na kushida kiti cha urais na kuwa rais wa 40 pia mwaka 1985 alifanikiwa kutetea nafasi yake kuongoza muhula wa pili.
2. Nchini Afrika kusini, Jacob Zuma alipokuwa makamu wa rais katika serikali ya Thabo Mbeki, alijengewa kashfa na kushonwa kwelikweli kuhusu ufisadi kwenye ununuzi wa silaha. June 14 2005, Mbeki alimchinja vilivyo Zuma alipomfuta kazi kutokana na kashfa hiyo ya zaidi ya dola 5 bilioni za ununuzi wa silaha hizo mwaka 1999. Wapinzani wake wakisiasa waliamini huo ulikuwa mwisho wake wa kisiasa lakini washabiti wake waliamini kuwa zilikuwa fitina za kisiasa Zuma alikuwa imara na atimaye kushinda kuiongoza ANC baada ya kumwangusha Mbeki na baadae kuwa Rais wa Afrika kusini
3. Duniani kote wanasiasa kuhama vyama ni jambo lenye heri. Hadi kufikia Novemba 2014 Rais Mahinda wa Sri Lanka aliyeamua kuhairisha uchaguzi badala ya kufanyika 2017 ifanyike 2015 January alipewa nafasi kubwa kuushinda upinzani. Aliwafukuza mawaziri wake akiwemo wa uchumi na afya badala yake SIRISENA aliyekuwa waziti wa afya aliamua kuunda chama kwa kushirikiana na wengine (,Sri Lanka Freedom Party) na kujiunga na upinzani yeye akiwa mgombea urais alimbwaga Mahinda na sasa ndiye rais na Mahinda kubaki mpinzani.
4. Aliyekuwa waziri mkuu wa Senegal tangu 2004 to 2007 katika utawala wa Wande yeye na wenzake walikuwa chama tawala Senegalese Democratic Party SDP , baadae alitofautiana na wenzake na kuunda chama chake Alliance for the republican alimbwaga wande na kuwa rais wa Senegal mwaka 2012
5. Mwaka 1990 mzee Felix alimwamini mchumi na kumteua kuwa waziri mkuu Wa I vory coast bwana huyo mchumi alipoonyesha kujijenga ili kuwania urais 1995 aliwekewa mizengwe akajiondoa kutoka chama tawala cha PDCI akajiunga na wapinzani kwenye chama cha RDR alianza mapambano na kufanikiwa kuwa rais kushinda chama tawala mwaka 2011
6. Mwaka 2007 DJ wa Madagascar Andry Rajoeina alijiondoa kwenye chama tawala na kuanzisha TGV sasa ndo rais yupo ikulu baada ya kushinda chama tawala
7. Mwai Kibaki na Odinga walijiondoa kwenye KANU 2002 na kufanikiwa kutinga ikulu baada ya kuungana kama upinzani
8. Kenyata alijiondoa kwenye chama tawala kenya na kujiunga na Luto kwa kuunda umoja ulioitwa Jublee wakafanikiwa kutinga ikulu mpaka sasa
MIMI NA WEWE TUJIULIZE JUU YA LOWASSA KUJA UKAWA KAMA NI SWALA LA AJABU AI LA KISHUJAA?
REFERENCE
www.mwananchi.com
www.uspdt.com
Katabaro, E (2000) African Politics. Pg 107-156