Mwenyekiti NCCR - Mageuzi, Mwenyekiti TLP, Mwenyekiti UDP. Viongozi hawa watatu wa upinzani hawako kwa maslahi ya wananchi wanaowaongoza, bali wapo kwa kuwadhoofisha wananchi na kujaza matumbo yao binafsi kupitia siasa, hii ni hatari kwa jamii wananchi<br />
tunataka upinzani uwe ni kitu kimoja na kuweza kufikia lengo mwaka 2015 na vizuri NCCR wameshakiona hicho kikwazwo na inatkiwa<br />
viongozi na wanachama wa TLP na UDP nao wawe katika msimamo huo huo hili tuweze kufika pale tunakodhamiria.