Leo tv zetu za ndani clouds tv na star tv zikiwa live shinyanga JPM anasema hizi ni sherehe za mapinduzi maandishi ya tv yanasomeka ZIARA YA RAIS SHINYANGA
inaonekana hamkuangalia live tv,kwa taarifa yako kuanzia leo MH.RAIS katangaza rasmi kuwa kuanzia leo sherehe zote za kitaifa kila watu watasherekea katika maeneo yao na hakuna haja ya kukusanyana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.