Mgunda analeta ushikaji kwenye kazi, sasa huyu Akpan wa nini anatoka Okwa anaingia yeye, anatoka mchezaji mwenye kuweza kushambulia, mwenye kunyumbulika anakuja Akpan.. π π
Kapama, Kyombo na Kibu wasipopewa byebye Simba nitashangaa. Simba haijawahipo kuwa na wachezaji wabovu kama hawa. Halafu sijajua Mgunda plan yake nini maana kama ni kupima viwango vya wachezaji wasiocheza Sana, nilitarajia kuwaona hawa akina Kibu wakiwa nje.
Okra ni mtu anafaa kuwa kikosi cha kwanza, ila Mgunda huwa anamuharibu kumpanga akacheze winga ya kushoto, hawezi kukupa kilicho bora zaidi, kama anavyotaka kumuharibu Sakho.