lewiathan
Senior Member
- Jan 17, 2019
- 193
- 281
Mapigano makali yametokea Mapakan kat ya Congo na Zambia,
Inasemakana Wanajesh wa Congo waliitwa waingie Zambia wakiwa na Combat zao baaday wao Kugoma kuwa hawana taarfa yyte ndipo askal kama wa4 wa zambia walipo enda na Speed Boat zzao walipo fika wakachana Bendera ya Congo.
Askal wa Congo walkuwa 3 wawil walipoona hvyo wakaondoka mmoja akaona hii zarau sasa akaingia ndan akatoka na chuma,
Akampiga mmoja Askal wa zambia mguun alvyoona wametahamak akampiga mwingne kifuan na wale wawl walvyoona mwenzao anapambana wakaja ikabd waongeze nguvu wakawazdia wanajesh wa zambia ikabd wakimbie wakaongeze nguvu.
Aise kilchokuja kutokea had helkopta zmehska kutoka zb maana kilnuka mbaya, nmemuona mdgo wa kabila amekuja majesh ya Congo yamejaa Murilo hapa
mpka sasa hakja fahamika chanzo hasa, tusbr update zaid
Sent using Jamii Forums mobile app