Mapichapicha ya CUF Tanganyika (Mungiki)

Hana akili huyu,anampigania Lipumba alieondoka CAF kwa akili zake timamu,watu wengine bure kabisa
Wewe ndo huelewi, dhambi ya kumleta Lowasa UKAWA ndo itawasambaratisha wote. Jitahidi kujua kiini cha tatizo, katiba ya cuf inasemaje juu ya mwenyekiti, Katibu Mkuu na viongozi wengine, siyo unakimbilia ku coment
 
Zitto naye alisema hivihivi kuwa siondoki CHADEMA Leo Yuko ACT wazalendo,Juliana naye alisema bado ni mkam Mwenyekiti wa Bavicha Leo Yuko CCM.
 
Hujaelewa ..... Anazungumzia Maalim kuwa kibaraka wa Lowassa & co.
 
Twende mbele,turudi nyuma lakini chanzo cha yooooote haya ni lile tendo MASHUHURI la KUBADILI GEAR ANGANI.
Watu wameshasahau walikojikwaa wamebaki kulaumu walikoangukia.
 
Hujaelewa ..... Anazungumzia Maalim kuwa kibaraka wa Lowassa & co.
Maalim awe kibaraka kwa kukataa kibaraka kuwa kiongozi wa chama alichokipigania wakati mwingine hata kuhatarisha maisha yake. Halafu huu ujinga wa kumkuza sana Lowassa hadi kufikia hadhi ya uungu mtu inawapa faida gani? Kila jambo ni Lowassa kafanya, mbona mnamuabudu sana nyie?
 
Huyu kambaya kashakula ela ela ya usaliti ni mbaya lazima uifanyie kazi Yake mwacheni tu amalizie kazi yake Mimi namsikitikia sakaya Na maftaha kuwa wabunge Wa mahakama kwa muda mrefu
 
Lowasa the Don!
 
Kambaya ni mjinga sana eti Lipumba nae ni Musa maajabu ya karne halafu anadiriki kusema hatoki mtu Cuf amuulize mwenzie Zito unaleta jeuri kwa waliokupokea ulipokuja na kandambili..waende wakaanzishe chama chao tuone jeuri yao
 
Demokrasia thabiti ni lazima ipiganiwe kwenye vyama vya siasa......
 
Demokrasia thabiti ni lazima ipiganiwe kwenye vyama vya siasa......
Watu wakitaka kuandamana mnawaambia wafuate sheria, hawa waliojiuzulu wenyewe mnataka kuwarudhisha kienyeji kama mlivyowatoa kienyeji, HAIWEZEKANI. Waingereza wana msemo wao kuwa, huwezi kuila keki yako na ukaendelea kuwa nayo "You can't eat your cake and have it"
 
Twende mbele,turudi nyuma lakini chanzo cha yooooote haya ni lile tendo MASHUHURI la KUBADILI GEAR ANGANI.
Watu wameshasahau walikojikwaa wamebaki kulaumu walikoangukia.
Weka nyama ili jamii ikuelewe
 
Huyu dogo analeta ubaguzi wa uzanzibari na Utanganyika
kweli kabisa ndani ya CUF kuna uzanzibar watu wa bara wanaonekana kama vinyago. Lakini Sharifu Hamadi anapaswa kujua huu ni mwisho wa CUF na mwisho wake pia kisiasa na hata CHADEMA pamoja na kumtumia Mtatiro lakini lakini wajue kuwa kuiua CUF ni kuinyanyua ACT wazalendo kwa kuwa wanachama na wapenzi wa CUF wengi wataelekea huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…