Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,497 Reaction score 5,271 Aug 13, 2010 #21 Zamani ukibalehe tu, unapewa na mke kabisaaaa. Siku hizi baba la miaka arobaini linaishi kwa mama yake funzadume said: Kama tunatakiwa kufanya mapenzi baada ya ndoa, kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa? Sidhani kama ni busara kutaja mtu jina humu JF. Click to expand...
Zamani ukibalehe tu, unapewa na mke kabisaaaa. Siku hizi baba la miaka arobaini linaishi kwa mama yake funzadume said: Kama tunatakiwa kufanya mapenzi baada ya ndoa, kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa? Sidhani kama ni busara kutaja mtu jina humu JF. Click to expand...
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,649 Reaction score 21,520 Aug 13, 2010 #22 Kiranja Mkuu said: Zamani ukibalehe tu, unapewa na mke kabisaaaa. Siku hizi baba la miaka arobaini linaishi kwa mama yake Click to expand... tena asubuhi linaomba nauli kabisa
Kiranja Mkuu said: Zamani ukibalehe tu, unapewa na mke kabisaaaa. Siku hizi baba la miaka arobaini linaishi kwa mama yake Click to expand... tena asubuhi linaomba nauli kabisa
Askofu JF-Expert Member Joined Feb 14, 2009 Posts 1,664 Reaction score 87 Aug 13, 2010 #23 Inasikitisha...
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Aug 13, 2010 #24 Duh kama hii habari ya kweli imenisikitisha vya kutosha
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,632 Reaction score 167,498 Sep 27, 2010 Thread starter #25 dogo kazi unayo
Smarter JF-Expert Member Joined Nov 10, 2008 Posts 528 Reaction score 115 Sep 27, 2010 #26 End of the world, Hata ukisimuliwa bado unahisi ni Uongo, ''Makubwa Haya"
Shishi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2008 Posts 1,242 Reaction score 45 Sep 27, 2010 #27 duh...ukistaajabu ya musa....na ya firauni sijui...watu mbona wamekosa kazi tu na aibu!!!! Toba!
MartinDavid JF-Expert Member Joined May 22, 2009 Posts 874 Reaction score 145 Sep 28, 2010 #28 Kaka hiyo ni aibu.. nakushauri siku nyingine usitoe taarifa za makao ya mtu anapoishi, siyo vizuri. wewe ilishamuonya sasa ya nini kumsema huku mwenye forum....
Kaka hiyo ni aibu.. nakushauri siku nyingine usitoe taarifa za makao ya mtu anapoishi, siyo vizuri. wewe ilishamuonya sasa ya nini kumsema huku mwenye forum....