Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Hivi una mpenzi wako halafu hataki kwao wajue,anasema tukiachana aibu.unajalibu kumshauri hata kutumia marafiki zake lakn inashindikana.uaminifu ktk mahusiano yenu nimwaminofu sanaa,myezi saba isha pita,Moyo wangu usha kata tamaa na unamchukia sana.ilivyo ona nakuwa sieleweki Ndo anajifanya yuko tayari,lkn najaribu kuurudisha moyo wangi kwake nimeshindwa na kiukweli anahangaika sana kunitafuta kuniomba msamaha,lkn moyo wangi unamchukia sana.jamani nifanyeje,,,,,;napia dada zangu sio kila mwanaume anaye kuja kwako basi unamuona mwongo,kibaya zaidi mkipata kazi basi hukumbuki kuwa mwanaume alikupata ww ukiwa huna kazi.kumbuka hata uwe na pesa kiasi gani kama hujaolewa hakuna kitu mbele ya watu.kuolewa na kuoa ni heshima kwako na wafamilia yako.asanteni