BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Unamchukia kwa sababu zipi!? Ongea naye kwanza kama hizo sababu zinazokufanya umchukie anaweza kuzibadilisha kabla ya kuamua nini cha kufanya. Kila la heri.
Namchukia baba wa mtoto wangu nifanyeje