mapenzi

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,290
Reaction score
1,428
Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?
 
mkeo umemzidi kwa mingapi then?
 
Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?

ww vp si ndo vzr sku mambo yakiwa vizur unamkamua na yeye! Kumbe bado mbich ww shukur mungu
 
Ndio shida ya vibabu kuparamia mabinti wadogo....si uoe wazee wenzako!!
 
mkuu mbona hainingii akilini hii inshu yako? kuna uhusiano gani kati ya umri wa mkweo na kumuoa binti yake?
hivi vigezo vingine visivyo na mbele wala nyuma visitumike kabisaa linapokuja suala la kuona,umeshamgegeda binti wa watu halafu unaanza kuleta story alinacha,kwa hiyo kila utapokuwa unamtongoza mwanamke ina maana utakuwa unauliza umri wa mama zao ama baba zao?
 
 
Lengo lako libaki palepele kwani ni malengo yenu ya ndoa hausiana na swala la mama mkwe kamalisha taratibu za ndoa na huyo mwenzako na uendelee kumuheshimu mama mkwe kila siku maana ndiyo mzaa chema hakuna haja ya kutaka kusita na kuchukua maamuzi mengine. Mambo ya umri wa mzazi wake hayakuhusu kabisa
 
Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?

ndugu bila kumung'unya maneno ni hivi 'jiandae kumdungua na yeye maana ipo siku atataka na mbaya zaidi utakapojaribu kumdungua akanogewa atavunja ndoa ya binti yake ili afaidi yeye'! kama unaoa oa huyo binti. ila mama mtu akitaka sindano aisee kaa mbali kabisaaa otherwise itakuwa dissaster!!
 
Usha zeeka ww dogodogo ukioa jua tutakumegea tu masela!
 
kwani ww unamuoa mama mkwe? au kigezo ilikuwa ni lazima mama yake awe mkubwa kwako? kama ni hivo ulitakiwa umuulize kabla hujataka kumuoa, naamini usingekuja hapa kutusumbua. AHSANTE.
 
unaoa mama mkwe! Au binti yake!!USHAANZA KUMTAMANI MKWE WAKO!
 
aaaah inaonyesha una umri sawa na mama mkwe
 
Unao binti au mama mtu

Na huo umri unahusika vipi na ndoa yako????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…