Mapenzi

Maskini watu8 keshabaguliwa na rangi yake ila kweli bwana rangi white hazijui kitu black ndo penyewe.
Mie nlishafanya research hiyo haijalishi mzungu au msukuma white wote 0
 
Last edited by a moderator:
Maskini watu8 keshabaguliwa na rangi yake ila kweli bwana rangi white hazijui kitu black ndo penyewe.
Mie nlishafanya research hiyo haijalishi mzungu au msukuma white wote 0

Hahaha hata wewe loh!
 
Last edited by a moderator:
Huyo kashatendwa na mtu mweupe huko halafu analeta generalization hapa.
Mapenzi ni mapenzi, rangi ni rangi
 
Yaani huyu mkweo anilize mimi, kwa jinsi anavyonigwaya.

aafu najua kinachokuliza wewe ni kuachiwa bill tu ulipe. Mbona haufiki? Niko bel monte, njoo si unajua wine hapa buku 7 glasi?
 
Hivi karibuni kuna dem aliniambia eti wanaume weupe hawajui mapenzi japo nilishangaa sana Sasa nimeona nije hapa jukwaani kuuliza je jambo hili ni la kweli?basi karibuni kwenye mjadala.

alishafanya utafiti huo au kazungumza tu?sample alitumia watu wangapi ndio afikie hio conclusion?
 
aafu najua kinachokuliza wewe ni kuachiwa bill tu ulipe. Mbona haufiki? Niko bel monte, njoo si unajua wine hapa buku 7 glasi?

Nishafika hapo na kuondoka kitambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…